Kitu gani kitapotokea kwako...ndio itakua furaha yako?

siku ccm ikisambaratika na mafisadi wote kunyongwa we nitafurai sana
 
dhambi zangu zote zigeuke kuwa thowabu halafu niwe napizi kwa muda usiopungua masaa matatu
 
Dah!

Mimi kila siku nategemea matukio tofauti tofauti nili yo ya plan yalete furaha.....mfano now ikifika saa 11 tu nitafurahi ajabu...........
Generally, Nikifunga pingu za maisha na nimpendae ........Dah!!!!!!!!!; Business iki grow na kuwa stable,

Mhhh........Ni ndefu........though ninafuraha ol the time...........hata kama ni kiuongo uongo:eyeroll1:
 
mi cku ntakapowaona wanajf wote face 2 face,......... mana kuna watu nashindwaga hata kuwa imagine.
 
Back
Top Bottom