Kitu gani kinamfikisha mtu kwenye ufanisi katika maisha

Haya sawa...the fact that he dropped out(call it leave of absence) from Harvard to start his business is exactly that made him what he is today.
It was a leave of absence according to Wikipedia.
Yes that's what made him what he is today, but dropping out is not the same as never going to Uni, a big part of the college experience is getting to know yourself and it really helps people figure out what it is they want to do with their lives. For me just my first few months at Uni was a huge eye opening experience.
Also he met Paul Allen at Harvard, co founder of Microsoft.
 
Wazee naomba nichangie kidodo hapa.
Mimi nafikiria mafanikio ya mtu kwanza kabisa yanapimwa na namna anavyoweza kukidhi mahitaji ya msingi kikamilifu. utakuwa umefanikiwa endapo mkono unaenda kinywani bila wasiwasi, watoto wanaenda shule bila mikwaruzo, ukiugua na familia yako uhakika wa matibabu ya maana upo, malazi safi na salama, usafiri na mavazi na mengine anayotakiwa kuwa nayo binadamu. zaidi ya hayo, mahusiano yako na jamii inayokuzunguka kama vile kushriki katika shida na raha bila kunata ni muhimu. na mwisho kwa maoni yangu, utakuwa umefanikiwa endapo utaweza kutumia uwezo wako ulionao kusaidia jamii yako kielimu, kiutamaduni, kifikra nk. lakini kujilimbikizia mali na kujiona mungu mtu katika jamii si mafanikio.
 
People who have had just a few years of education are most successiful than many graduates out there! What make the laymen succeed in business which most of the graduates do not have?...

Then Africa was supposed to be the richest continent on earth, kwa kuwa wengi africa wamenusa elimu ya msingi then wakaingia mtaani.

What's success from ya definition..?
 
Then Africa was supposed to be the richest continent on earth, kwa kuwa wengi africa wamenusa elimu ya msingi then wakaingia mtaani.

What's success from ya definition..?

When you attain what you desire,this is the simplest defination.I think we both agree on this.

My concern is to find out what makes some people succeed in life and what other people lack which make them fail.

The founder of Ford Motors had no education.Can you tell me what made him successiful? Ford attained his goal and so many others like him.

In the lake Zone we have Kishimba,the Imalaseko superstar,Mwita Gachuma and many others who had only a few years or no schooling at all and yet they are big business owners.

What made them tick?Can anyone tell me?
 
10 Commandments for Success in Life


These guidelines have the power to benefit you - physically, mentally and spiritually.

1. Have a simple and unassuming manner of life.

2. Live not to eat, but eat to live.

3. Bear no envy. Commit no slander. Speak no falsehood. Practise no deceit. Harbor no malice. You will be ever joyful, happy and peaceful.

4. Righteousness is the rule of life. Lead a virtuous life. Strictly adhere to Dharma. Human life is not human without virtues. Study the lives of saints and draw inspiration from them.

5. Cultivate a melting heart, the giving hand, the kindly speech, the life of service, equal vision, and impartial attitude. Your life will, indeed, be blessed.

6. Lead a regulated life. Take hold of each day as if it were the last day, and utilize every second in prayer, meditation and service. Let your life become a continuous sacrifice to God.

7. Live in the present. Forget the past. Give up hopes of the future.

8. Understand well the meaning of life, and then start the quest.

9. Life is thy greatest gift. Utilize every second profitably.

10. Success often comes to those who dare and act. It seldom comes to the timid.

May you all attain success in life!

Hinduism


MJ
 
Wazee naomba nichangie kidodo hapa.
Mimi nafikiria mafanikio ya mtu kwanza kabisa yanapimwa na namna anavyoweza kukidhi mahitaji ya msingi kikamilifu. utakuwa umefanikiwa endapo mkono unaenda kinywani bila wasiwasi, watoto wanaenda shule bila mikwaruzo, ukiugua na familia yako uhakika wa matibabu ya maana upo, malazi safi na salama, usafiri na mavazi na mengine anayotakiwa kuwa nayo binadamu. zaidi ya hayo, mahusiano yako na jamii inayokuzunguka kama vile kushriki katika shida na raha bila kunata ni muhimu. na mwisho kwa maoni yangu, utakuwa umefanikiwa endapo utaweza kutumia uwezo wako ulionao kusaidia jamii yako kielimu, kiutamaduni, kifikra nk. lakini kujilimbikizia mali na kujiona mungu mtu katika jamii si mafanikio.

Mkuu,kila mtu ana malengo yake katika maisha.Kwako wewe mafanikio ni kama ulivyoytaja hapo juu,yaani mradi upate mambo muhimu katika kuendesha maisha yako period.Kuna wengine wanamalengo tofauti na hayo.Wanahitaji kuwa business owners,investors..na kumiliki mali kadri na matarajio yao.Watu wote hatuwezi kuwa sawa katika malengo yetu.

Ninachokitafuta hapa ni kwa nini watu wengine hufanikiwa katika malengo yao...na zaidi nataka kujua ni kitu gani hasa kinachomfikisha mtu katika kilele cha mafanikio.Wengi wa watu maarufu ninaowafahamu na mfano nimeshatoa si watu wenye elimu kubwa lakini wana mafanikio makubwa.Kitu hiki ndicho hasa ninachotaka kujua.Kama kuna mtu anakijua naomba anipatie na mimi maarifa.
 
My concern is to find out what makes some people succeed in life and what other people lack which make them fail.

Anadalby,
I will only attempt to address this part of your concern regarding factors that may lead to one's success or failure.

1.The starting point is to agree on what we mean by " success" and "failure" in life.Some people would say that success is the end result of a life time spent trying to exhaust all efforts and opportunities at failure.

2.If we agree on this general definition, I would then think that success doesnt come by chance but by efforts.If one has a vision, mission, goal and strategy to attain the same then most probaby there willl be success at the end of the day.Success often comes to those who dare and act. It seldom comes to the timid.We must dare to be somebody/something in life.If you dare to fight you must dare to win!Mtu anavuna apandacho!

3.Failure to have a plan in ones' life path will most probably lead to failure in life.Many people do not set clear goals of what they want to achieve in life. This to me is the major contributing factor to failure regardless of the indicators be it in money/wealth,relationships or jobs.

4.Ukiishi kienyejienyeji kwa kubahatisha/kubangaiza matokeo pia ni ya kubahatisha! N.B.Kubangaiza ni moja ya misamiati maarufu kwa waTz!
 
When you attain what you desire,this is the simplest defination.I think we both agree on this.

My concern is to find out what makes some people succeed in life and what other people lack which make them fail.

The founder of Ford Motors had no education.Can you tell me what made him successiful? Ford attained his goal and so many others like him.

In the lake Zone we have Kishimba,the Imalaseko superstar,Mwita Gachuma and many others who had only a few years or no schooling at all and yet they are big business owners.

What made them tick?Can anyone tell me?

If you are talking on Business success then I believe there are a few things.

Luck!/Timing - Although most people don't like to admit it. Sometimes you just happen to be at the right place at the right time. e.g Thawte getting bought up by Verisign due to the Y2K bug.

Noticing a GAP in the market, a demand for a product/service that is not being fulfilled e.g A cheap Car that everybody can afford

Innovation- Finding newer/better ways to do something e.g The assembly lines that Ford implemented or Googles improved search results ranking algorithm.

Clever Marketing - Think Apple here, they rarely have the best/greatest device on the market, but everyone wants one!

Determination/Persistence - I have heard this from a few business Gurus, there is a wonderful story on how Honda started his company.

And you can have all those and still fail, but you will have fun trying!!
 
Ninachokitafuta hapa ni kwa nini watu wengine hufanikiwa katika malengo yao...na zaidi nataka kujua ni kitu gani hasa kinachomfikisha mtu katika kilele cha mafanikio.Wengi wa watu maarufu ninaowafahamu na mfano nimeshatoa si watu wenye elimu kubwa lakini wana mafanikio makubwa.Kitu hiki ndicho hasa ninachotaka kujua.Kama kuna mtu anakijua naomba anipatie na mimi maarifa.

Mkuu,
1.Elimu inafungua milango mingi zaidi ya mafanikio lakini siyo kigezo pekee
2.Lengo/dhamira ya kufanikiwa + mikakati + action + nidhamu = SUCCESS
 
I quite aggree with the notion that most people do not try hard enough to conquer their live's dreams.Most of us especially Tanzanians are too complacent in life.We tend to take things for granted, the sun will alwats rise tommorrow, so why make a fuss about it all!!.
Most of us have dreams but that is the end of it.For the courageous they go for simple solution like EPA and the like.The more meticulous will paistakingly chart out a way and strenously realise the dream.Examples even in Tanzania are many, most recent is the departed Richard Nyaulawa.
Wabongo tuchemke kwa kuwa na good ideas , we are rich in all terms na sio kwa fedha tu.
 
Nimeshakutana na wasomi kila aina,lakini majority yao ni watu wasiokuwa na uwezo hata wa kuendesha maisha yao.Na nimeshakutana na watu wasiokuwa na elimu ya maana...lakini ni watu makini,wana uwezo wa kifedha,wanajiamini na wanaendesha shughuli zao vizuri.
Sasa labda hapa ni kutafuta sababu za hawa wasomi kuwa watu wa vitabu,data,laptop,kuendesha semina n.k lakini wakawa dhaifu inapofika suala la kutajirika,kuwa na mamlaka na kujiamini.
Mfano ni fundi viatu wa miaka ya sitini Said Salim Bakhressa maarufu kwa ice cream na bidhaa tofauti hapa nchini.AU hata Billy Gates..aliyekimbia shule akiwa grade 10...na sasa ni mmoja ya matajiri wakubwa duniani.List yao ni ndefu...kina Ford..n.k.

Je ni kitu gani cha ziada ambacho wasiokuwa na elimu ya juu...walichonacho hadi wakafanikiwa katika malengo yao,ambacho hakipatikani kwa wenye Phd..n.k?

Mheshimiwa, mada yako imenivutia.

Kuna matatizo mawili, la kwanza, ni kuwa wasomi wengi duniani, wanaamini kuwa wamesoma kwa ajili ya kusaidia wasiosoma. Kiasi kwamba, wanakuwa wanajiposition kuwa waajiriwa zaidi ya waajiri bila ya wao wenyewe kujua. Nenda katika makampuni kibao ya kisasa, utakuta graduates kibao wamejazana huko wengine mpaka wana Masters Degrees ila ndio hivyo, anatunza hela za wasiosoma. Kwa hiyo, cha msingi ni kubadilika kwa mtazamo wa wasomi.

Cha pili ni tabia ya kuchukulia kila kitu kisomi. Ukimwambia msomi afungue biashara ya Ice Cream kama Bakhressa au hata ya kusaga mahindi, ataanza feasibility study, sijui proposal mara risk assessment na takataka kibao. Wakati wasiosoma, wanaangalia tu kama biashara inalipa au la, then mtu anatambaa na soko. Wakati msomi anamaliza proposal asiyesoma anakuwa kashawin market siku nyingi sana. Hizi complications sijui za risk assessment n.k. zimewapelekea wasomi kuanza kuogopa biashara, wanaona biashara ni ya watu fulani tu waliobarikiwa.

Wasomi wanasahau kuwa hata ulipwe milioni kumi kwa mwezi, ikiwa ni mshahara, bado itakuwa ngumu kufanikiwa. Hasa ukizingatia kuwa ni msomi, hivyo wanavyozidi kupata kipato kikubwa (as salary) ndio nao wanaongeza maisha ya supermarket, "you know" kibaooo. Wakati asiyesoma ukimpa hata laki mbili, utakuta anafikiria vitu vikubwa as anajua survival yake ni hiyo laki mbili. Msomi anakuwa na confidence ya kijinga kuwa, hata kama namaliza milioni kumi kwa mwezi, by the way, elimu ninayo, kazi nzuri ninayo, anajiona yuko secured zaidi, hali anazidi kudidimia kimaisha pasipo kujua.
 
Consultants wengi wanachukua mshiko mzuri sana, so sidhani kama ni sawa kuwalabel kuwa hawajasucced.
Pia watu tunaona hao waliosucced by taking risk lakini hatuoni wote waliofeli
"According to the U.S. Small Business Administration, over 50% of
small businesses fail in the first year and 95% fail within the first
five years.? "

Mkuu,ningependa kuchangia tu kwamba hizi takwimu ni kwa vigezo vya nchi zilizoendelea, biashara ya Tanzania ina nafasi zaidi ya ku-survive kuliko ya Marekani, endapo tu itakuwa imeandaliwa na kuzingatia kanuni za kufanikiwa kibiashara, kuna tofauti nyingi baina ya kuendesha small business marekani na Bongo, In general muundo wa kibiashara ni mmoja in term of vitu muhimu kama business plans, marketing stratergy,cashflow models nk, similarity zinakomea hapo, kwani ukija katika 'market control' na 'actual cashflow' hapo ndipo inapokuja tofauti kubwa, mfano:
1. Small business owner wa Tz wengi wao mara nyingi wanaanzia kwa kumiliki 'Business Capital' wakati wale wa nchi ziloendelea kama USA wengi huanzia kwa kuchukua personal loans ama business loans kwa wale wajanja zaidi, hali ambayo inachangia kufanya faida iwe chache due to monthly repayments na interest.
2. Mfanyabiashara wa Tz mara nyingi anakuwa ameshalipia 'in advance' business premises kwa at least 6 months rent/lease ama atakuwa anamiliki hiyo sehemu, kama atakuwa amekodi hii kodi mara nyingi inatoka mfukoni katika jumla ya mtaji.
3.Makato ya tax , Insurance contribution yako juu kwa nchi zilizoendelea.
4. Labour na professional services difference, mshahara utaomlipa msaidizi wa kazi na book-keeper/accountant ni nafuu kwa Tanzania kulinganisha na Marekani.
5. Business Competition iko weak Tanzania kulinganisha na nchi kama Marekani, kama utakuwa hodari katika assessing market trend and market predictions una nafasi kubwa ya kufanikiwa Tanzania.
Ukiangalia gharama za ku-run small bussiness Marekani si vigumu kubaini kwa nini 95% zinakufa kabla hazijasimama.
Sijui takwimu za small business zikoje Tanzania lakini naamini ziko less than 95% failure kutokana na sababu hizo apo.
 
kuna kila sababu ya kuiependa na kuienzi JF maana nafaidika na taarifa kama hizi.kuna tofauti kati ya small business in the US na hapa Bongo.
 
Of course tofauti ni kubwa bongo na U.S ila statistics za bongo hakuna.
Pia success stories alizozitaja nyingi ni za U.S, Ford, Gates e.t.c nilichokua nasema ni kwamba lazima tuangalie na upande wa pili sio kila mtu anayechukua risk anapata mafanikio.
 
Back
Top Bottom