Kitu gani kinakutisha....?

So sweet..

Umefikiria kuhusu wengine bila
Kujijali mwenyewe..una moyo mkubwa

Well,
Kujibu swali lako
Naogopa ng'ee
 
umewaza mbali sana mdau....
Ukiendelea kuwaza hivi, unaweza hata kutengeneza REMOTE CONTROL ya JUA.
Ukawa unatusaidia kupunguza makali ya jua na joto lake kali.

Inasemwa mtu ukiwa unawaza kwa mtindo wa huyo jamaa, sanity level uwa inapungua sana. Hivyo mwisho wa siku jamaa anaweza kupoteza....
 
Naogoopaaa, naogopa, kidude...

Towa e uweke u.
Mmmhh??? Kidude gani hicho? mi nakuona kama mtu ambae hana uoga hivi. Afrodenzi akiogopa nge we unaikanyaga tu kwa heel yako. Kumbe unaogopa 'kidude'? embu twambie ni kidude gani hicho...
 
Washawasha nakuona unaogopa kuishiwa credit kwa hivo ukisha soma threads unalog off, unajibu kwa karatasi, ukirudi una 'reply' zooooote alafu unasoma mapya, then unalog off. :)
Hahahaha umeona eh! Nipeni dili,nipeni dili, masela,nikamate mahelaa! Nalog off
 
Kongosho... kwa nini usifikiri:
  • Siku moja bila kujua usiku unageuka mchana na yote yanayofanyika yanaanikwa hadharani...
  • Siku moja bila kujua yote tuliyofanya yanajiandika usoni ili kila mtu akusome na akujue jinsi ulivyo, mazuri yako na mabaya yako...
 
mmmhhh? hiyo ni scenario ingine balaa! hesabu idadi ya watu watakao hama mitaa...
 
mmmhhh? hiyo ni scenario ingine balaa! hesabu idadi ya watu watakao hama mitaa...

Au itokee watu wote ulio-do nao ndude zao zinaota usoni kwako. Duh kuna wengine watakuwa ma-mlimz kilimanjaro usoni. Maana zitzpzndiana mpaka basi.
 
Back
Top Bottom