Kitu gani kinakutisha....?

Kongosho

JF-Expert Member
Mar 21, 2011
35,999
24,163
Nimepita kituo cha daladala mida ya jioni na kuona makundi makubwa ya watu wakisubiri usafiri. Nikawaza hawa watu wote wanahitaji chakula na sehemu ya kulala.
Imenifanya nikajiuliza, je kama kabla ya kuumbwa unapewa nafasi ya kuchagua uje duniani kwa mtindo wa kitu fulani, ni kitu gani unaogopa sana kuwa? Mfano, imagine kuzaliwa swala unakuwa chakula cha simba.
Au kuzaliwa popo unasinzia kichwa chini miguu juu.

Vitu navyoogopa sana kuwa ni:-
1. Chakula, watu wooote hao wanakula afu mdomoni giza sana, very scary.
2. Nyumba, baadhi zinajaa sana watu hadi kama zinataka kupasuka.
 
umewaza mbali sana mdau....
Ukiendelea kuwaza hivi, unaweza hata kutengeneza REMOTE CONTROL ya JUA.
Ukawa unatusaidia kupunguza makali ya jua na joto lake kali.
 
duh! yani ulivoandika iyo kichwa ya habari yako ni tofauti na yaliyomo ndani.........
ww unaogopa nn?????????
 
duh! yani ulivoandika iyo kichwa ya habari yako ni tofauti na yaliyomo ndani.........
ww unaogopa nn?????????

mimi naogopa mende....wewe je?.(usichakachue naomba uende na melody ya uzi)....hi hi hi hi....
 
umewaza mbali sana mdau....
Ukiendelea kuwaza hivi, unaweza hata kutengeneza REMOTE CONTROL ya JUA.
Ukawa unatusaidia kupunguza makali ya jua na joto lake kali.

Usuwaza sana ma-pythogras theorem sasa hivi. Imagine kitu kinachokutisha labda ww ungezaliwa popobawa, hulali usiku kutembelea nyumba za watu tu. Huogopi, au tayari ww popobawa wa hiari tena wa mchana kweupe
 
Back
Top Bottom