Kitu gani kinakukera unapompigia mtu simu

tatizo unazungukia ukweli,si useme nimeambiwa namba yangu umepata wapi?ukome kupiga namba za watu kama hujapewa.
 
kupokea ni swala lingine,
kinachoniboa ni kumpigia mtu simu then hapokei,then inapita siku nzima bila kuonyesha response yoyote ile as if hajaona hata missed call-kweli hii tabia inaniboa saaaaana
 
nachukia ninapompigia mtu simu ana-assume nimemaliza kuongea anakata simu wakati mie ndo nimepiga

nakera mtu anaponibip kila wakati nikimpigia ananiuliza 'wewe nani?'
 
kupokea ni swala lingine,
kinachoniboa ni kumpigia mtu simu then hapokei,then inapita siku nzima bila kuonyesha response yoyote ile as if hajaona hata missed call-kweli hii tabia inaniboa saaaaana
Kama hataki/hajisikii/hawezi kuongea na wewe je?
 
Mtu anabeep, halafu ukimpigia anakwambia nilitaka kukusalimia tu, au anakuambia eti ana shida! sasa shida yake halafu wewe umpigie simu!!
 
badala ya kukusikiliza kwa nini umempigia simu,anaanza kuulizia habari za ndugu na ukoo wako! Si ungepiga basi wewe,ebo!
 
probably ni mambo ya msingi unamwambia na yeye anauliza umeipata wapi namba yangu kabla hujazungumza???????????? sio fresh mkimaliza mazungumzo muulize hapo sawa....lakini kama anakutongoza kwennye simu na ameiomba namba yako kwa mtu nawe hupendi hiyo tabia kweli huna budi kumuuliza na kama humtaki unkata simu kabisa
 
Mtu anabeep, halafu ukimpigia anakwambia nilitaka kukusalimia tu, au anakuambia eti ana shida! sasa shida yake halafu wewe umpigie simu!!
inakera sana tena sana dada mmoja kanifanyia huo mchezo jana amebiiiiiiiiiiip mpaka keroooooo
 
sio nyie tu unampigia mtu anauchuna na wakat kakubeep au tafadhal nipigie na wakat yeye ndo anashida ukimpigia anakusalimia salamu ndeeefu mpaka kero! kuna ile unampigia mtu anaanza ooh nimekumisi sana mi wananiboa kama wamenimis si wangenipigia wao nijue kweli amenimisi anasubir mpaka nimpigie mi wananiboa ila tu ni respect nakupa tu naweza kukuchania live unichukie bure sitak kugombana na mtu kabisa
 
kuna ile mtu anaku beep kila dakika af anaizuia namba yako isingie kwake,., kwa hy ukimpigia simu inakuwa disconnected autom..
 
tatizo ni umeshut down,
comments zetu utazipataje?
switch ON kwanza
halafu tujulishe
Nasi tuje na maoni
ambayo yatakuwa very constructive
 
Back
Top Bottom