Kitu gani haswa kilisababisha Mhadhiri Msaidizi wa UDSM Andrea Hange ajiue Sweden?

Amehojiwa mhadhiri mmoja main campus akadai amekufa kifo cha kawaida kama binadamu wengine! zipo tetesi kuwa (believe or not) kuwa msongo wa mawazo ndo umemuondosha baada ya defence ya PHD yake kuwa ngumu. Hizi shule nazo zina mambo yake. Mtu anakuwa na expectation za juu kisha mwisho wa siku mambo yanagoma, Mungu na ailaze roho yake mahali pema peponi kwani yeye ametangulia na sisi tutafuata.

Inasikitisha saaana...
 
Ndo maana inaniwia VIGUMU sana kuamini kila habari inayokuja humu. Taarifa toka wa ndugu wa karibu ni kuwa jamaa atazikwa kesho (23.03.2012) huko Goba

Hi Freema! hope you doing fine!

I am sure you wont mind that I added a word in your original message VIGUMU... It was my pleasure!!:thinking::thinking:!!!
 
maiti iliingia jana usiku toka sweden then amsterdam/netherlands na atazikwa kesho tar 23/03/2012 nyumbani kwake Goba. kabla ya hapo kutakuwa na ibada na kuaga pale UDSM kanisani. Mungu aiweke roho ya marehemu mahali pema peponi. Amen
 
Ndugu yangu Tusker bariidi Ndugu Hange hajazikwa bado. Kesho narudi Dar from Iringa kwaajili ya kumzika hiyo kesho huko Goba uliposema. Mwili umewasili jana kwa shirika la ndege la KLM na kuhifadhiwa Lugalo Military Hospital.

Sababu za kifo chake kwa mujibu wa wataalamu wa Sweden ni suicide.hivyo tusihangaike sana kutafuta chanzo maana kila mmoja atasema lake. Nimefurahi sana kwa walioonesha wazi kuwa PhD ya kusoma siyo mchezo maana kuna watu humu waliwahi kusema watu chuo fulani wanapewa PhD na Uprofesa kwa upendeleo. Ufahamu wangu ni kwamba kuwa Prof. ni balaaaa unaweza kuwa chizi kama hautakua makini bora PhD unashughulikia jambo moja tu.
 
Kwani mkuu ukikos PhD au U-prof. unajiua?

Ukikosa Mali unajiua? ukikosa mke mwema unajiua? etc..

Poleni na msiba lakini tunatakiwa kufahamu kwanini mwalimu wetu amefariki kwa kujiua? namfahamu nimesikitishwa sana na kifo chake..ni muhimu kufahamu chanzo cha kujiua..walau nitatulia??
 
RIP Mwalimu. Mimi siamini kama PhD ni ngumu mpaka mtu ajiue. Inawezekana alipatwa na msongwa wa mawazo na akakosa hata mtu wa kumshirikisha. Mbona kocha wa Wales (Gary Speed) naye alijiua?kwani alikuwa anasoma PhD??
 
Kwa UDSM, SUA na MUHAS mhadhiri akifeli masomo ya kiwango chochote (Masters au PhD) kibarua kinaota nyasi!

Kuwa na uhakika unapochangia kitu muhimu kama hiki, kwani sheria za nchi haziruhusu mbona wapo wengi tuu pale UDSM, SUA NA MUHAS walioamua kusepa bila MSC na PHD
 
sidhani kama ukifeli phd kibarua kinaota nyasi kwani mtu ukishafaulu
masters kwa kiwango cha B kama ulikuwa tutorial assistant unapandishwa
cheo na kupewa permanent ajira unakuwa ass lecture.
kwa nchi za wenzetu supervisor wako hawezi kuwa mjinga akusuprevise
hadi point ya mwisho,thesis iwe imeshapita kwa external examinar ushindwe kudefend
labda kuna lingine lilimfanya akajiua.
 
Kaka soma Post ya Mabulangati.
Mabulangati ndio nani bana wewe? Mabulangati alikuwepo wakati marehemu anajiua?

Sababu za kifo chake kwa mujibu wa wataalamu wa Sweden ni suicide.

hakuna kitu kama hicho duniani, hakuna mtaalam anaweza kusema "sababu ni suicide" unless ulioana anajiua. Coroner anaweza kusema marehemu amekufa kwa kunyongwa lakini hawezi kusema nani kamnyonga! Unajuaje hakunyongwa?
 
Mabulangati ndio nani bana wewe? Mabulangati alikuwepo wakati marehemu anajiua?

hakuna kitu kama hicho duniani, hakuna mtaalam anaweza kusema "sababu ni suicide" unless ulioana anajiua. Coroner anaweza kusema marehemu amekufa kwa kunyongwa lakini hawezi kusema nani kamnyonga! Unajuaje hakunyongwa?
Naomba mumpe hange privacy kama inawezekana
 
Back
Top Bottom