Kitu cha UDOM..

quiz, assignment na test ni zilezile ingwa MU ni kozi 5 per semester, acheni watoto wapate elimu
 
quiz, assignment na test ni zilezile ingawa MU ni kozi 5 per semester, acheni watoto wapate elimu
 
Watanzania watu wa ajabu sana! hivi mtoto aliyepata div I form 6 akaenda chuo chochote akafaulu vizuri what makes the difference? Huu ujinga wa kufelishana sio elimu kuwa iko juu katika chuo fulani ni roho mbaya tu! MITANZANIA NDIO TULIVYO!
 
Not So GOOD. Unafikiri wanaosoma UDOM wanajisikiaje ... think big before you speak or write somrthing

Watajskia sawa 2 kwan unafkr hawajui kwamba UDOM ni sawa na shule ya kata. Hadi ma lecturer wnywe wanaponda utaratbu wa course zlivyomegwa megwa. Kwa mfano utakuta UDSM kuna course inaitwa Political science and public administration. Ambapo ndan yake kuna Vpengle vngi km democracy and election n.k. Ila ukienda UDOM course kma hyo inakua imemegwa na kufundshwa ka kipngle km couse ambayo m2 ana graduu nayo.
 
labda kwa sababu hili ni jukwaa la utani
 
First class university hata marekan, ulaya vipo na vineheshimika hata graduate wake wanapewa priority, mfano Havard, MIT etc. So kwa Tz is Udsm.
 
We itakuwa tulisoma wote japokuwa sikusoma hata kozi moja iliyofundishwa na Dr Benson Bana!!!! Udom hata DS ni degree....kwa sasa hivi na Udsm wameshaanza kutoa bachelor ya Development Studies?
 
Issue is accrediction of the University by TCU, the name of the University does not make any difference
 
ni kwamba mama anajua tanzania kuna chuo kikuu kimoja tu so hicho cha udom anadhani siyo chuo kikuu.

basi huyu mama na wote waliokidiss hiki chuo ndo walewale magamba waliopenda mabadiliko na kuamini kuwa ili kitu kigeshimike lazima kizaliwe enzi za magamba...
 
Watajskia sawa 2 kwan unafkr hawajui kwamba UDOM ni sawa na shule ya kata. Hadi ma lecturer wnywe wanaponda utaratbu wa course zlivyomegwa megwa. Kwa mfano utakuta UDSM kuna course inaitwa Political science and public administration. Ambapo ndan yake kuna Vpengle vngi km democracy and election n.k. Ila ukienda UDOM course kma hyo inakua imemegwa na kufundshwa ka kipngle km couse ambayo m2 ana graduu nayo.

we malaika kufeli kwako for. six na hkl ukajikuta unaend course za kubebwa ambazo nazo ulifeli isiwe sababu..mimi nikuwa bba na am very compdtent at work oz nimecover masomo mengi kama mtu wa BAF mzumbe hadi hizo bba za st agustine na tumain wanashangaa...we ungefaulu upate gpa ya first class sidhan kama ungeponda
 
BINTI: Mama nimefaulu na nimechaguliwa kwenda UDOM.
MAMA: Hongera mwanangu, nilijua tu utafaulu, na bado nakuombea najua ipo siku utafika chuo kikuu!!!!

huyu mama hajaenda shule hata kwa chekechea .sio kosa lake. udom wanaspecialize co udsm wana generalize vitu.
 
First class university hata marekan, ulaya vipo na vineheshimika hata graduate wake wanapewa priority, mfano Havard, MIT etc. So kwa Tz is Udsm.

kweli bana w unafkir hawajui km udsm iko juu? udsm ni first class ya bongo....
 
We itakuwa tulisoma wote japokuwa sikusoma hata kozi moja iliyofundishwa na Dr Benson Bana!!!! Udom hata DS ni degree....kwa sasa hivi na Udsm wameshaanza kutoa bachelor ya Development Studies?

haipo ni course na ina unit 2 tu
 
Back
Top Bottom