kitu cha kushangaza... ELECTRICIANS

wakuvuma

Member
Sep 25, 2012
49
7
wakati mvua ikiendelea kunyesha mbele ya frem ya duka moja apa ukonga nikiwa nimesimama ghafla tukaona bulb ya umeme (energy saver) ikiwa inawaka waka yan on/off...kuchek kwenye switch
iko off
yeyote awezaye kutolea maelezo
 
maji ya mvua yalikuwa yanachirizika ndani ya switch na kuisababisha kuunga(on) mkondo na taa kuwaka,mchiriziko ukikata switch inakata mkondo(off) na taa inazima,kitendo kinaendana na kasi ya mchiriziko wa maji ya mvua.
 
May be!!
Kwetu kuna mabanda ya uwani sasa mvua ikipiga ukutani circuit breaker inakata umeme nyumba nzima je hili nalo husababishwa na nini?
 
kwa hiyo tatzo linaanzia kwenye switch
 
May be!!
Kwetu kuna mabanda ya uwani sasa mvua ikipiga ukutani circuit breaker inakata umeme nyumba nzima je hili nalo husababishwa na nini?

baadhi ya umeme unaopaswa kurudia njia ya circuit breaker unakatisha njia ya ukutani kukamilisha mkondo aridhini(earth leakage)kwa njia ya maji ya mvua yaliyopenya katika sehemu uchi(bare) ya mfumo wa umeme vibandani.breaker hiyo ni nzuri kwa matumizi.
 
imbalance flow of currents ktk coils ndani ya circuit breaker yawezekana ikawa sababu!
 
Pia radi huwa inasababisha kitu kama hicho, kuna wakati nilikuwa nafanya kazi mikoa ya Kagera wakati wa mvua kuna radi sana, tena zile za nguvu,kuna wakati hata mvua hainyeshi inapiga radi kubwa na generator kubwa iliyokuwa ofisini kwetu inajiwasha yenyewe na wakati mwingine hata jenerator isipojiwasha taa zinawaka na kuzima na hapo ni wakati wa ule mwanga mkali kabla ya ule mngurumo mkubwa wa radi.
Sijui umeme wa radi huwa unajiungaje hapo na kuswitch on generator.
 
Hapo nadhani kuna ishue ya leakage inayosababishwa na maji, pia earth wire itakuwa imepigwa kizembe. Coz hiyo ni short ambayo kujua inakoanzia ni vigumu. Ila kama kulikuwa na radi basi thats another issue
 
Pia radi huwa inasababisha kitu kama hicho, kuna wakati nilikuwa nafanya kazi mikoa ya Kagera wakati wa mvua kuna radi sana, tena zile za nguvu,kuna wakati hata mvua hainyeshi inapiga radi kubwa na generator kubwa iliyokuwa ofisini kwetu inajiwasha yenyewe na wakati mwingine hata jenerator isipojiwasha taa zinawaka na kuzima na hapo ni wakati wa ule mwanga mkali kabla ya ule mngurumo mkubwa wa radi.
Sijui umeme wa radi huwa unajiungaje hapo na kuswitch on generator.

apa vip nkisema clouds zinabeba negative charge so zinapokutana na waya postv umeme unaflow kwny bulb
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom