Kitu cha kuangalia wakati wa kutafuta mchumba wa kuoa

Boflo

JF-Expert Member
Jan 20, 2010
4,384
4,409
Tuseme wewe ni mwanamume na watafuta mchumba , kitu gani utakachoangalia kwanza kabisa?. Yaani kivutio cha kwanza ni kipi? Utavutiwa na nini au sehemu gani ya mwanamke?

Utafiti wa hivi karibuni unaonyesha kitu cha kwanza kabisa wanaume anachoangalia katika mwanamke ni matiti. Naam Matiti.
Chuo kikuu cha Victoria University of Wellington nchini Uingereza, kimefanya utafiti na kubainisha kwamba kabla ya mwanamume kuangalia tabia, elimu au nasaba ya mwanamke wao hupiga jicho kwanza kabisa kifuani kuangalia kukoje?

Watafiti hao wamegundua kwamba wanaume wengi huwa hawa kupiga jicho ...pa mara moja tu! Hapana! Wao huangalia kwa muda mrefu kabla ya kufikia uamuzi wa nimwambie au nisimwambie?.

Ni utafiti wa chuo kikuu cha Victoria kilichoko Wellington, mjini London, Uingereza.

Jee unafahamu kuwa matiti ya wanawake sio saizi moja? Kwa kawaida moja ni kubwa lengine ni dogo. Wanasayansi wanasema titi la kushoto kawaidi huwa ndilo kubwa kushinda la kulia. Lakini tofauti yao ni ndogo kiasi kwamba sio rahisi mtu kugundua.

Sijiu kama unafahamu kuwa hata chuchu zenyewe za matiti zina tofautiana kwa ukubwa. Usihadaike ukaziona zote zimechomoka kifuani ukafikiri zinaelekea upande mmoja. La hasha! Chuchu moja inaelekea mbele nyengine upande kidogo
 
Hahaahaaaa! Mbona hamtonipata na hiyo mbinuuu!!!!! Nikipiga zangu sidiria za MAXMISER boobs Mashalaaaah!, siku nikiamua nitoke kibantu Natinga ya kuyabana, Siku nikiamua to show what my mama gave me for free natinga kitu cha PUSH UP kama Pam Anderson utanijua? Sasa kila ukitoa mijicho utabaki na miswali.
 
Ukweli mimi mwenyewe matiti kwangu ni preference ya kwanza ikifuatia mahaga, lakini siku hizi sina imani navyo kwa sababu matiti feki makalio feki ndo fasheni kwa sasa kwa wanawake, utaona kasichana kameyapandisha juu utadhani natural sasa toa hizo nguo zilizoyashikilia unachoka kabisa kama malapa
 
hahahhahaa.... Si mchezo,wenye chuchu saa kumi na tatu imekula kwetu..sio???
 
Tuseme wewe ni mwanamume na watafuta mchumba , kitu gani utakachoangalia kwanza kabisa?. Yaani kivutio cha kwanza ni kipi? Utavutiwa na nini au sehemu gani ya mwanamke?

Utafiti wa hivi karibuni unaonyesha kitu cha kwanza kabisa wanaume anachoangalia katika mwanamke ni matiti. Naam Matiti.
Chuo kikuu cha Victoria University of Wellington nchini Uingereza, kimefanya utafiti na kubainisha kwamba kabla ya mwanamume kuangalia tabia, elimu au nasaba ya mwanamke wao hupiga jicho kwanza kabisa kifuani kuangalia kukoje?

Watafiti hao wamegundua kwamba wanaume wengi huwa hawa kupiga jicho ...pa mara moja tu! Hapana! Wao huangalia kwa muda mrefu kabla ya kufikia uamuzi wa nimwambie au nisimwambie?.

Ni utafiti wa chuo kikuu cha Victoria kilichoko Wellington, mjini London, Uingereza.

Jee unafahamu kuwa matiti ya wanawake sio saizi moja? Kwa kawaida moja ni kubwa lengine ni dogo. Wanasayansi wanasema titi la kushoto kawaidi huwa ndilo kubwa kushinda la kulia. Lakini tofauti yao ni ndogo kiasi kwamba sio rahisi mtu kugundua.

Sijiu kama unafahamu kuwa hata chuchu zenyewe za matiti zina tofautiana kwa ukubwa. Usihadaike ukaziona zote zimechomoka kifuani ukafikiri zinaelekea upande mmoja. La hasha! Chuchu moja inaelekea mbele nyengine upande kidogo

Mwili ulio jaa jaa kidogo, urefu wa wastani, maji ya kunde au rangi ya chungwa..........halafu shungi iambatane na baibui hapo........ah! Mashallah mwanapwani mimi hapo tena, nguvu zote kwisha nakufa na kuoza kabisaaaa......
 
Kimsingi katika swala la kutafuta mchumba huwa naangalia A, B, C, D NA E
A=Age difference inamata
B=Beautiful, mrembo kwangu lakini hasa chocolate and black beauty
C=Character, tabia ni muhimu
D=Dignity, utu wema
E=Education, ni muhimu kwa kiasi kikubwa, siyo una master unambeba mtu wa drs la 7 au 4m4, inawezekana lakini hatakuwa huru sana
 
Kwa mbinu za matiti, hamuwapati wanawake......wameingia mkenge wengi tu. Jipangeni kwanza.
 
Hata sikumbuki ni kitu gani kilinivutia kwa mama Ngina...LOL

Watabaki kudhani..... kampendea nini

Labdaaaaaaaaaaaa ni.. macho yake

Labdaaaaaaaaaaa ni... sauti yake

Labdaaaaaaaaaaa ni... mwendo wake
 
Back
Top Bottom