Kitoweo!

Mwalimu

JF-Expert Member
Aug 21, 2008
1,581
1,069
Jamaa wametoka mawindoni....

attachment.php
 
Attachments

  • african_anaconda_catch_Funzugorg_09.jpg
    african_anaconda_catch_Funzugorg_09.jpg
    128.6 KB · Views: 357
Chatu ingawa sijamla mla nimewahi kumchuna ngozi ana nyama mzuri tu na hana sumu, pia taarifa nilizonazo nyama yake ni tamu so ni poa. Pia ikumbukwe binadamu hapa duniani ana kitu kimoja kikuu kinachofanana ambacho ni kula vyote vinavyomzunguka visivyo sumu kwake. Hakuna haya ya kushangaa! Mkunga, Kamongo ni nyoka wa majini; wanaliwa, kwa nini chatu siliwe? Huo ni mfano mmoja tu. Pia ifahamike kwamba njia moja nzuri ya kuangamiza viumbe wengine waharibifu na waletao madhara kwa jamii ni KUWALA. Jimbo moja nchini India waliwahi kuhamasisha wakazi wao kula PANYA (ambae walidai ana nutrition benefits nyingi ikiwamo kuongeza hamasa ya kujamiiana) kwa vile walileta uharibifu mkubwa.
 
una matatizo wewe sio bure
 
Kitoweo !!!:tonguez: Hiyo wanatengeneza pesa nzuri kwa ngozi tu, imajini mikoba, walet viatu vingapi vitatoka hapo. nipeni email zao tufanye deal sisi:biggrin1:
 
Du! Hivi yule wetu aliyeibiwa na kurudishwa pale maliasili mpingo hse bado yupo kweli? Yaonekana kila kitu kinatumika. Nyama inaliwa, ngozi dili, mifupa je?
 
Mfugo huo mazee, mnampigia hesabu kumla chatu wangu?...mwe! hamuoni yuko hai anapumua kabisa?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom