Kitovu ni hatari eeh...?

PakaJimmy

JF-Expert Member
Apr 29, 2009
16,203
8,724
Kuna hii imani au sijui kama ni ukweli, watu wengi wa kanda ya kaskazini, na baadhi wa sehemu nyinginezo wanasema kwamba mtoto mchanga wa kiume akiangukiwa na kitovu chake maeneo nyeti wakati kinapokatika, basi mtoto huyo naniliu yake ndo haitafanya kazi tena, yaani haitasimama.

Hivyo wanahakikisha kuwa kipindi hicho kikikaribia, mtoto anavalishwa manguo kwa umakini wa ajabu!

Kuna ukweli gani kuhusu hili wataalamu?
 
Kuna hii imani au sijui kama ni ukweli, watu wengi wa kanda ya kaskazini, na baadhi wa sehemu nyinginezo wanasema kwamba mtoto mchanga wa kiume akiangukiwa na kitovu chake maeneo nyeti wakati kinapokatika, basi mtoto huyo naniliu yake ndo haitafanya kazi tena, yaani haitasimama. [/SIZE
Hivyo wanahakikisha kuwa kipindi hicho kikikaribia, mtoto anavalishwa manguo kwa umakini wa ajabu!

Kuna ukweli gani kuhusu hili wataalamu?
...
PJ hizo imani mbona ziko sehemu nyingi tu ingawa hata mimi sioni connection kisayansi sijui wataalamu wa tiba watujuze.....Kitovu+Kuangukia dudu= impotence!! Vipi ikiwa ni mtoto wa kike same applies??!!
 
Nadhani kwa mtoto wa kike hiyo formula yako hapo juu hai`apply!
Kwahiyo, na tuirekebishe formula yako isomeke:

Kitovu+Kuangukia dudu(ya kiume)= impotence!!

Hakuna kitu kama hicho, ni imani isiyo na maana kama zile za zamani zilizokuwa zikiwazuia akina mama wajawazito wasile mayai ili watoto wasizaliwe wakiwa sijui na nini sijui!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
 
Hii ilikuwa ni kuhakikisha kitovu kinapodondoka ni lazima kionekana, kwa maana mitaa ya Ziwa Magharibi hicho kitovu ni lazima kizikwe na watu fulani na sehemu fulani ya shamba (ekibanja). Ndio maana wanapokwenda likizo waheshimiwa utasikia wakisema kwamba wanaenda "penye kitovu chao" (nimetafsiri hapo)

Ni mila na desturi - no wonder watoto wengi (wa kiume) siku hizi wanakuwa ma-shoga, yawezekana vitovu vyao viliwadondokea!

the message was : "tudumishe mila na tamaduni zetu"
 
Hakuna kitu kama hicho, ni imani isiyo na maana kama zile za zamani zilizokuwa zikiwazuia akina mama wajawazito wasile mayai ili watoto wasizaliwe wakiwa sijui na nini sijui!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
Mkuu Katavi hakuna kitu kisichokua na maana yake regardless hiyo maana inahold ukweli or not! kama hiyo ya Kinamama wajawazito walikua wakikatazwa kula vitu kama ivyo kuzuia mtoto tumboni asiwe mkubwa so wakapata tabu kujifungua kwani enzi hizo kulikua hakuna madaktari ka wa sasa! Ila ka ni kweli au la mi hilo sijui!
 
Back
Top Bottom