William J. Malecela
R I P
- Apr 27, 2006
- 26,588
- 10,375
Gentlemen (and Ladies) wa JF lets try not to get too personal on these discussions, we will lose the context.When it gets too personal wengine inakuwa vigumu kuchangia!
We hang the petty thieves and appoint the great ones to public office-Mwiba
- Mkuu wangu Lole, sisi wananchi wote wa Tanzania hatujalala kiasi hicho cha kutoelewa maana ya sheria zetu, kuhusu mapungufu ya kibinadam na wizi, mwizi anatakiwa kwenye sheria sio kwenye majukwaa ya siasa na waandishi wa habari,
- ndio maana taifa letu limedumaaa, kwamba kiongozi akiiba eti ni mapungufu tu kama ya viongozi wengine waasherati, lakini tumsikilize anachosema anyways bila kujali wizi wake, kweli hii ina make a sense kwako? I mean kwangu it does not kwa sababu ni watu kama Kitine, Mwalimu aliwatayarisha kwa makusudi ili baadaye akiwa hayupo waje simamia maadili ya uongozi wa taifa letu. Ninaijua siri yote ya Mwalimu kuwapeleka Kitine na wenzake wengine wengi ambao hawatajwi nje ya taifa letu wakati ana-retire, moja ya sababu zake ilikuwa kwamba one day mambo yakitaka kuharibika katika uongozi wetu warudi haraka sana tena by anymeans necessary kuliokoa taifa letu kama litapotea njia za maadili ya uongozi wa Mwalimu, halafu huyu anajua siri zote zilizolifanya taifa letu kwenda mrama sasa kama kweli anataka mabadiliko aseme yote, lakini sio hadithi za bulicheka!
Last edited by a moderator: