Kitimtim Bungeni: Wenje atolewa nje ya Bunge

Kuwa mvumilivu si unajua siku hizi JF ilivyopoteza mwelekeo mtu anakuja na hoja ambayo aijakamili na hayuko teyari kufafanua zaidi!kwa mfano NW,TL maana yake nini?hii ni kumchanganya msoma mada!
Kweli uvumilivu unatakiwa
 
Duh!kumbe mpo wengi!ipo siku utakutana na za kichina china kabla ujanyanyua hiyo fatuma yako teyari utakuwa na ngeu kama saba usoni,hapo ndiyo utajua mabifu si mazuri!!

natembea na bisibisi mfukoni wewe! halafu ww inawezekana huji kuwa wakizichapa ndo watawekeana heshima, hata zile sauti za taarifa ya spika au muongozo wa spika hutazisikia ovyo ovyo, habari za kupitisha bajeti kwa 100% wkt mbunge ameiponda haitakuwepo tena,
 
Bunge linatizamwa na watu wengi sana na hasa watoto wa shule. Hivyo ni muhimu sana kwa anayeongoza kikao (either Spika, Naibu spika au mwenyekiti) kujenga mazingira ya wabunge/mawaziri kusahihishana na kukubali kukosolewa. Huu mtindo wa kusema 'leta ushahidi kwa maandishi' hata kwa mambo tayari ushahidi upo unaweza kuwa ni 'tactical' delay na unalenga kuficha ukweli ila wajue wanazalisha utamaduni mbaya sana kwa viongozi wetu kutokuwa makini.Hakuna kitu kibaya kwa mtu kutokuwa kukoselewa. Ni udhaifu. Na mbaya zaidi kwa watoto wanaofuatilia vikao vya bunge kukuzwa kwenye mazingira kwamba you can cheat your way out hata kama umepewa dhamana ya kuongoza jamii.


Kama mbunge au waziri anatoa kauli, data ambazo si sahihi ni vizuri linapogundulika hili a-withdraw immidiately na kuomba radhi. Hizi ndio kanuni za jamii inayoishi ki-ustaarab kwamba watu wakubali kukosolewa. Kila mara Kiti cha Spika kimekuwa kikidai ushahidi wa kimaandishi lakini hadi leo hakuna chochote kilichofanyika? Sasa kama kiti cha Spika kinashindwa kusimamia ukweli au kujenga utamaduni wa kusimamia ukweli, kwa vipi tuamini bunge kwa chochote kinachongelewa humo ndani? Ni mfano gani bunge letu linatoa kwa watoto wa nchi hii?
 
mkuu ni mbunge gani tena huyo aliyetaka ushahidi uletwe baadae, hakika asikanyage singida, manake ataliwa denda mbele ya kadamnasi.
 
Naibu waziri kashikwa pabaya na MB Tundu Lissu, busara za mwenyekiti zimemsaidia sana NW coz TL alishaanza kusoma ukweli na uongo wa NW. TL kadai NW kadanganya Bunge na Ushahidi anao sasa hivi. M/kiti kamwambie asome ushahidi na ananza kusoma, MB mwingine anaomba mwongozo kusema alete ushahidi badae na kipindi cha maswali na majibu kiendelee.
Nadhani inahusika na wananchi kuchangishwa na serikali. NW akitaka kujitetea, M/kiti anampiga stop. Bunge tamu kweli sasa hivi.
Sasa kama ushahidi anao kwanini kusubiri baadaye, usomwe live tujue kinachoendelea.
 
inawezekana huo ushahidi utakuwa mzito na unamhusu huyo mbunge aliyeomba mwongozo ndiyo maana kaomba utolewe baadaye ili wapate muda wa kufanya mchakato wa mawasiliano na mh. Lissu
 
Inshort ni kwamba Naibu Waziri wa Elimu kapinga kuwa Wananchi wanachangishwa michango ktk ujenzi wa Shule kuwa suala hilo halipo ndipo Tundu Lisu akasema NW kadanganya kwani c kweli ila Wananchi wanachangishwa ktk Ujenzi wa shule tena kwa nguvu na sio hiari.Ndipo akakatishwa kusoma ushahidi wake na kwamba aulete kwa maandishi.Ila kiukweli nami naungana na Tundu Lisu kuwa NW kadanganya kwani michango hii ni karaha na inadaiwa kwa Nguvu na mgambo na huwakamata watu na kuwanyanyasa kiukweli kwenye ukweli tuongee ukweli UJENZI WA SHULE NA HASA HIZI ZA KATA NI MATESO SAANA KWA WANANCHI.
 
Tunachangisha kwa sana tu

Mimi nitaleta risiti nyingi tu

Serikali hii ni ya WAONGO na mawakala wao wote ndani ya Bunge
 
Inshort ni kwamba Naibu Waziri wa Elimu kapinga kuwa Wananchi wanachangishwa michango ktk ujenzi wa Shule kuwa suala hilo halipo ndipo Tundu Lisu akasema NW kadanganya kwani c kweli ila Wananchi wanachangishwa ktk Ujenzi wa shule tena kwa nguvu na sio hiari.Ndipo akakatishwa kusoma ushahidi wake na kwamba aulete kwa maandishi.Ila kiukweli nami naungana na Tundu Lisu kuwa NW kadanganya kwani michango hii ni karaha na inadaiwa kwa Nguvu na mgambo na huwakamata watu na kuwanyanyasa kiukweli kwenye ukweli tuongee ukweli UJENZI WA SHULE NA HASA HIZI ZA KATA NI MATESO SAANA KWA WANANCHI.

Kule singida aliwaeleza madiwani wa magamba na uongozi mzima wa halmashauri kwamba yeyote atakayethubutu kwenda kuwachangisha wananchi wa jimbo lake la singida mashariki atakiona ncha mtema kuni.

Sasa naona safari hii imekuwa zamu ya wizara ya elimu.
 
mawazili wa sasa ni la kulinda masilahi ya chama zaidi, hilo si tatizo sana kinachuma ni jinsi wazivyo urma hata kidogo sisi tulio na mahangaiko, mateso, taabu na machukizo kila kukicha. ipo siku haya yatakuwa historia tena kwa nguvu. HII NI MIAKA 50 BAADA YA UHURU
 
Mwongozo wa Spik, soryyy, mwenyekitii..Bunge livunjwe kwa hoja ya dharura...i mean, emergency...kanuni ya 68(4) hooo sory 68(8) Mwenyekiti...mwenyekiti sio mwongozo bali hoja binafisi...

Kaa chini..sajenti mtoe nje huyo...mh, nani atoke, usimtoe bwana..., mwongozo wa mwenyekiti kanzwa...tuendelee.
Mhe. Waziri wa Mifugo: David Mathayo David..tuendeleee..
 
mwenyekiti wa leo naona yupo kama yupo tu,walikuwa wanajaribu kutoa hoja ili tundu lissu apewe muda wa ziada wa kukabidhi taarifa yake
 
Back
Top Bottom