Kitimoto

Van pierre

Member
Mar 27, 2011
25
0
Nina rafiki yangu m1 mwislamu ngangari analalamika eti kuna nyumba ya marafiki zake wamemlisha nyama ya nguruwe mara 3 bila ya yeye kujua katika mazingira yale yale yanayofanana!!!!eti mara ya 1 alienda akakuta rosti la ukweli,yeye akadhani ni cow akaligonga,alipomaliza washkaji wakamtonya kuwa ishu ni mdudu!!!eti hali hiyo ilijirudia katika siku zingine mbili tofauti za usoni!!!wanajamii huyu jamaa ana haki ya kulalamika kweli!?inavyoonesha alinogewa na kujitupia kitu cha mdudu
 
Mduu kamtamkia huyo.
 
Seriously speaking na ukiachilia mbali makatazo ya dini - lile dude lina sura mbaya mno na linakula hovyo sana - halipendezi kulila.
 
Ahahahaaah!! Na pia inasemekana vitu vinavyokatazwa ndio watu wanapendelea zaidi!
 
ni kweli kabisa, kwa mfano:

Usizini

Usiue

Usiibe

Usitamani

Duh! kweli hii ni noma!
 
Sio kwamba inakatazwa ndio maana watu wanapenda.....Ni kwamba imeonekana watu wanapenda sanaaaa ndio maana imekatazwa.......we umewahi kusikia dini inakataza kula mchanga.....au kugusa nyota?

Hizi dini zetu mbaya sana, zinasubiri kitu kipendweeeee ndio zinaanza kukataza....wakataze kukaa macho miezi mitatu mfululizo basi.
 
Seriously speaking na ukiachilia mbali makatazo ya dini - lile dude lina sura mbaya mno na linakula hovyo sana - halipendezi kulila.

Haujamkuta amepikwa na wanawake wanaojua kupika........... mamangu alikuwa anapenda kusema eti kimepikwa na mwanamke aliyepo uc*
 
Ahahahaaah!! Na pia inasemekana vitu vinavyokatazwa ndio watu wanapendelea zaidi!

Hilo mkuu katavi halina ubishi kabisa kama Ernie anavoeleza hapa chini :lol::lol::lol:

Ahahahaaah!! Na pia inasemekana vitu vinavyokatazwa ndio watu wanapendelea zaidi!

ni kweli kabisa, kwa mfano:

Usizini

Usiue

Usiibe

Usitamani

Duh! kweli hii ni noma!

Ukweli ni kwamba jamaa ashanogewa na mdudu hawezi tena kuacha!!
 
hivi ni kweli wanaJF lile dude huwa nalo linapitia mzunguko kama wanawake? kama ni kweli basi hapo ndo nilitia kinyaa zaidi:shock:
 
Si kweli, wanaopitia huo mzunguko ni primates, ambao hu-share family 1 na mwanadam.(mfano, sokwe) ambao kule congo ni nyama safi kuliwa
 
Hivi kula kitimoto ni dhambi kubwa kuliko uzinzi,ulevi,uongo na nyingine nyingi zinazofanana na hizo?Mbona wakizini hawalalamiki?hapo ni bora kujipanga sawa sawa.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom