Kitimoto vs supu ya Pweza

Kiranja Mkuu

JF-Expert Member
Feb 18, 2010
4,059
4,053
Kitimoto ni noma, piga nusu kilo kavu huku ukishushia na konyagi, mbona utasahau kabisa habari ya mchuzi wa pweza?
 
nadhani nichakula kizuri kiafya....pia umesahau matunda plus maji kukamilisha balance diet.
 





Joel Osteen namuheshimu kama mmoja wa magwiji katika kuinspire waliokata tamaa. Ila kwa hili la kitimoto, namshauri akae mbali kabisa maana hana hoja ya kisayansi. Rather it is journalistic way of convicing people with no sound scientific evedence.

Meanwhile,wiki hii nitapata kitimoto na next week nitapata supu ya pweza ili niweze kutoa tahmini (based evidence answer)
 
Last edited by a moderator:
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom