Kiti Cha Rais Kikwete ni Kama Kifimbo cha Mwl. Nyerere?

nngu007

JF-Expert Member
Aug 2, 2010
15,862
5,797
Kiti hiki cha Rais wetu ni kama Kifimbo cha Mwl?
baraza[1].jpg
DSC_0010[1].JPG
w260x[1].jpg
JK_akiongea_katika_mkutano_wake_na_waandishi_usiku_wa_kuamkia_leo_ukumbi_wa_Anatouglou_jijini_Da.jpg
MCT[1].jpg
23880222_jpeg_preview_medium[1].jpg
74098_1596260179230_1017728619_1640723_1674989_n[1].jpg
 
Ni motivation just like Nyerere used the kifimbo... I don't believe in witchcraft... just like Kaunda and Handkerchief ...
 
No nooooooo, for mkwere, for sure it must be something to do with 'protection'. Look at his chest, he now looks like a 'body builder'. All these are meant for protection. Usicheze na mkwere bwana!
 
Ndio anasafiri nacho kila kona ya nchi na ni kodi zetu anazozichezea. Siku mganga wake atakapomwambia beba na kitanda, nae asivyo mzima atabeba.
 
Kasi Mpya, Ari Mpya na Nguvu Mpya kisha kugeuka ZAIDI kwa pamoja lakini kwa KINGA ya Jemadari Sheik Yahaya Hussein aliyetolewa baruti Visiwa vya Comoro.

Mmhh!!! Tanzania in the move in the 21 century!!!!!
 
Back
Top Bottom