Kiti cha ofisi

Bujibuji Simba Nyamaume

JF-Expert Member
Feb 4, 2009
74,850
155,799
Kiti cha ofisini kimekuwa kikiniumiza mgongo.
Nimebadilisha viti vitano lakini bado naumia.
Je nikae pozi gani ili nisiumize mgongo?
 
Hamna viti vizuri kama vile vya ma-secretary ambavyo hutoa support nzuri kwa lower back.
 
Mi mwenyewe nakabiliwa na tatizo kama la mtoa mada.
kuna mtu kaniambia kuwa viti vya ofisini vile vya zamani (Common chair) vilivyo fanana na vya mezani ndio vizuri kwa usalama wa mgongo.
 
Back
Top Bottom