Juzi Jumamosi 3/7/2009 Usiku nilisikiliza redio imani kuhusu mjadala wa mahakama ya kadhi ikitolewa na masheikh wakuu wa kiislam nchini. moja ya hoja iliozungumzwa ni kwamba akitokea Mbunge akimuuliza swala Waziri mkuu katika maswala ya papo kwa papo swala linalohusu waislam Bungeni au waziri yeyote akiulizwa swala hilo Spika Huingilia kati na Kujibu yeye badala ya kumuachia Muhusika kujibu jambo ambalo baadhi ya waslam wanaofuatilia bunge wanaliona kwamba spika hatendi Haki hasa kipindi hichi ambapo bunge liko wazi katika kujadili jambo muhimu kama Vile Richmond, Mahakama ya Kadhi na OIC.
Last edited: