Elections 2010 Kiteto matokeo ni aibu!

ndyoko

JF-Expert Member
Nov 2, 2010
4,971
1,650
Katika yote yakiyotokea kiteto n aibu. Msimamizi wa uchaguzi hakuutangazia umma matokeo badala yake alitoka ofisini akawapatia wagombea matokeo na kumpatia mshindi cheti bila kuwatangazia wananchi matokeo kama ilivyofanyika kwa majimbo mengine. iLI KUJUA MATOKEO ILIBIDI KUWAVAMIA WAGOMBEA KUJUA KILICHOANDIKWA!

Matokeo:
CCM 25,308
CHADEMA 13,786
cuf 461
nccr mAGEUZI
 
lakini matokeo si ndiyo yenyewe no ni hizo hizo?ameogopa kelele za washindi!
 
Katika yote yakiyotokea kiteto n aibu. Msimamizi wa uchaguzi hakuutangazia umma matokeo badala yake alitoka ofisini akawapatia wagombea matokeo na kumpatia mshindi cheti bila kuwatangazia wananchi matokeo kama ilivyofanyika kwa majimbo mengine. iLI KUJUA MATOKEO ILIBIDI KUWAVAMIA WAGOMBEA KUJUA KILICHOANDIKWA!

Matokeo:
CCM 25,308
CHADEMA 13,786
cuf 461
nccr mAGEUZI

Akishinda unayemtaka ni sawa, akishinda usiemtaka ni aibu, aibu kwako au kwa mgombea alieshindwa, ailiyeshinda, demokrasia ya wapi hii?
 
Duuuuuuuuu yaaani Kimesera kabwagwa? kweli Nangora na CCM ni noma, akate rufaa Kimesera maana kuna harufu ya kuchakachua kura hapo.:doh:
 
wana nazani TUME wawe wanakagua VYETI VYA wanaojumlisha kura,SABABU WENGI INAVYOELEKEA HAWAJUI HESABU RAHISI ZA KUJUMLISHA NA KUTOA,mpaka nnavyoongea maeneo mengi matokeo hayajatoka kisa BADO WANAHESABU KURA.shame:israel:
 
Msimamizi wa Jimbo hilo anajua alichokifanya, Democracy haipo hivyo.Anaficha nini-Harufu ya Uchakachuaji (RUSHWA).
 
Back
Top Bottom