Kitengo cha Mawasiliano ya Umma CHADEMA, Kunani?

ndugu yangu CHADEMA kinakuwa tu kwa nguvu za mungu..wala hakuna kitengo idara wala hata dawati la mawasiliano ya umma...kuna idara ya habari na uenezi ambayo wamemuweka jamaa mmoja aliyewahi kuwa mbunge wa kisesa miaka ya nyuma na akashindwa shindwa baadaye mtu ambaye hana uwezo hata kidogo..mawazo yake yeye ni NGONO masaa 24..
SIKU WATANZANIA WAKIIJUA CHADEMA HALISI NDIO MWISHO WA UPINZANI NCHINI
it seems 100% of your brain imejaa hamu ya ngono 2,CHADEMA chama mbadala ikitoka ccm(chama cha mafisadi)
 
Ni swala la kutoa kipaumbele tu, wameshindwa kuajiri webmaster kwa ajiri ya ku-update website ya chama...ni kitu cha kushangaza sana kuona website ya chama iko doro wakati ile wabsite ni dynamic ni rahisi tu ku-update....

Kinachokera ni pale ambapo hata hawatoi maelezo kwamba tatizo lao ni nini. Watu wanalalamika tu na wao wanakaa kimya hawachukui hatua yoyote wala hawatoi maelezo. Inawezekana Chadema hawajui majukumu na umuhimu wa mawasiliano ya umma?
 
Mkuu, hili ni wazo zuri sana, ni wazo muhimu kwa Chadema, wanalipata bure kabisa!!

Wasiwasi Wangu: Kama kitengo cha mawasiliano ya Uma ki Mahututi, inawezekana kitengo cha kuratibu maoni ya watu (kama haya yakwako) kitakuwa Mahututi zaidi, au hakipo kabisa.

I will live to see it, as suggested!
 
dadi igogo naomba ushugulike hilo plz

Dadi Igogo ndiye mkuu wa kitengo hiki? kwa nini haamki kila watu wanapolalamika hapa? kwa nini viongozi wake hawashuhulikii malalamiko na ushauri unaotolewa hapa mara kwa mara
 
Haya jamani wenye taarifa tupeni Chadema leo wako wapi?
 
Back
Top Bottom