singidadodoma
JF-Expert Member
- Nov 11, 2013
- 4,394
- 1,531
Kwanza kabisa napenda kumpongeza naibu waziri wa nishati na madini Charles Mwaijage kwa kutoa ufafanuzi wa kina juu ya muswada ya sheria wa gesi na mafuta ya petrol lakini naona tatizo lililopo ni juu ya ufafanuzi huu uliotolewa leo ili wananchi ili waweze kuuelewa vizuri ili kuondoa upotoshaji uliofanya na wabunge ambao ni makuwadi wa madalali wanaotaka kuidalalia gesi yetu kasha wao kupiga pesa na kubaki matajiri wao na wajukuu wao.
Naibu waziri Charles Mwaijage katoa ufafanuzi mzuri sana na kila mwenye nia ya dhati na uzalendo wa kuitakia nchi yetu maendeleo na mafanikoa ya kizazi kijacho atakuwa ametakubaliana na mimi kuwa waziri amekidhi kiu ya maswali yaliyokuwepo hapo awali na muswada uendele kama ilivyopangwa hapo awali na tuachane wabunge ambao wanajifnya wazalendo kumbe ni mawakala wa madali nyuma ya pazia.
Kitengo cha idala ya habari na mawasiliano cha wizara ya nishati na madini wanapaswa kufanya jitihada kubwa na kuufahamisha umma wa watanzania juu ya ufafanuzi na majibu yaliyotolewa leo na naibu wananchi ili wananchi kwa ujumla waachane na dhana potofu waliolishwa na wabunge hao wa upinzani ambao mawakala .
Kitengo cha habari ya wizara hiyo kinatakiwa kutumia magazeti, redio tv pamoja na mitandao ya kijamii ili kuuelimisha umma haraka iwezekavyo ili kuondoa sintofahamu iliyoletwa na wabunge hawa wa upinzani,wizara hiyo inatakiwa kufanya jitihada kubwa kadri ya uwezo wao ili muswada huo wenye maslahi makubwa kwa wananchi upitishwe ili kulinda madalali na mafisadi wasiifisadi gesi na petrol yetu.
Mwisho kabisa watanzania tuwe makini na wabunge tunaowachagua kuingia bungeni badala ya kufanya kazi ya kuisimamia serikali wao weamegeuka kuwa mawakala wa madalali wanaotaka kuifisadi gesi na mafuta yetu.