kItEnDaWiLiii......

bampami

JF-Expert Member
Nov 5, 2011
5,697
4,107
Mwalimu aliingia darasani.
Akaagiza wanafunzi
watege
vitendwili!
Juma akasimama
"kitendawili?" Mwalimu "tega!"
Juma "NIVUE NGUO nikupe
UTAMU!"
Mwalimu
kwa hasira "pumbavu"
mshenzi nani anakufundisha upuuzi
huo?"
Juma:Nipe mji basi
Mwalimu:Nenda kwa
Tibaijuka
ndo mwenye madaraka ya ugawaji wa miji
Juma "Oyaa ticha kama
hujui si
useme tu?"
Jibu lake ni NDIZI MBIVU!"
Darasa zima kicheko!
Cheka k man u,
 
Mwalimu angemwuliza dogo na NDIZI MBICHI zikivuliwa nguo hutoa nini? Aone kama dogo kweli ni mjanja.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom