Kitendawili: .... !!!

Mzee Mwanakijiji

Platinum Member
Mar 10, 2006
33,475
39,991
Asiye na kitu alitishiwa kunyang'anywa kitu, na aliye na kitu aliambiwa atapewa kitu ambacho aliyemuahidi hana! Je asiye na kitu anaweza kunyang'anywa kitu?
 
Asiye na kitu alitishiwa kunyang'anywa kitu, na aliye na kitu aliambiwa atapewa kitu ambacho aliyemuahidi hana! Je asiye na kitu anaweza kunyang'anywa kitu?

Imeandikwa, hata kile kidogo alicho nacho asiye na kitu atanyang'anywa, na kupewa yule mwenye kitu zaidi ya yule asiye na kitu

haya mambo yalianza zamani.....
 
MWKJJ, jibu ni hutu wako pia utanyang'anywa.

Let them steal everything but not our conscious. That is the only thing they can not steal from us.

MWKJJ umeiona sinema ya "The Great Debaters"? Wabongo wanatakiwa waione hiyo sinema manake inatoa jibu la kitendawili chako.
 
dowans, Richmond,Mbuga zetu, Madini, Ufisadizz, Sagem securities na maisha bora kwa kila mtanzania?
 
Asiye na kitu alitishiwa kunyang'anywa kitu, na aliye na kitu aliambiwa atapewa kitu ambacho aliyemuahidi hana! Je asiye na kitu anaweza kunyang'anywa kitu?

MJKK Salam baba,
Mkuu hii si sawa au ni sawa na ile siri ya SIFURI? Mkuu Mbu ametoa mji bila jina mie nakupa Dar es salama, haya tufumbulie............!!!!
 
Tupe mji MKJJ maana nahisi kama kuna issue kubwa inakuja ambayo kanzi ka mwanakijiji kamenusa
 
Asiye na kitu alitishiwa kunyang'anywa kitu, na aliye na kitu aliambiwa atapewa kitu ambacho aliyemuahidi hana! Je asiye na kitu anaweza kunyang'anywa kitu?

Confusion!mwanakijiji naona kama umekosea kuiandika hii methali
 
Je asiye na kitu anaweza kunyang'anywa kitu?

Yeah utanyang'anywa hata nafsi na utabaki mtupu utashindwa umlilie nani na umkimbilie nani.Mwenye nacho ataongezewa mara dufu na ambae hana atanyang'anywa hata haki na uhuru alio nao.
 
Asiye na kitu alitishiwa kunyang'anywa kitu, na aliye na kitu aliambiwa atapewa kitu ambacho aliyemuahidi hana! Je asiye na kitu anaweza kunyang'anywa kitu?

Mkuu Mwanakijiji, jibu langu ni ndio, "asie na kitu anaweza kunyang'anywa kitu".

Jibu langu limetokana na condition moja tu ambayo asie na kitu anaweza kunyang'anywa kitu. Condition hiyo ni kama:

Kitu hicho si cha mwenye kitu wala atakaenyang'anywa pekee:
Maana yake ni kwamba, kama kitu ni cha wote, na mazingira ya umiliki wa kitu hicho hayana miliki ya moja kwa moja (kwa yeyote kati ya asie nacho na mwenye nacho), basi asie na kitu anaweza kunyang'anywa haki ya kitu hicho kabisa, na kupewa alienacho. Mazingira haya yanawezekana tu kama mwenye kitu akiamua kumnyang'anya asie na kitu kwa kutumia mabavu, kupindisha/kuvunja sheria makusudi n.k.

Nadhani nitakuwa nimejibu swali lako. Kama maelezo/mifano zaidi itahitajika, niko tayari kufafanua.
 
Walionacho-waasia ambao wanazidi kupewa tender zote na kutufanya sisi kama mapunguani.
Tusionacho-Ni sisi wadanganyika tunaofanywa mabwege katika nchi yetu,watu wachache(politicians) wanajiona kama hii nchi wamepewa wao ni huyu muumba.
Final Thought:
Haya yote yana mwisho and the only solution is conflict to revolk agaist the rulers.Tanzanians stand up before it is too lake!
 
Asiye na kitu alitishiwa kunyang'anywa kitu, na aliye na kitu aliambiwa atapewa kitu ambacho aliyemuahidi hana! Je asiye na kitu anaweza kunyang'anywa kitu?

Kwanza ungetueleza kama huyo aliyemwambia aliyenakitu kwamba atampa kitu(ahadi) ambacho hana....(ni nani?)Then baada ya hapo tunaweza kujuwa kama asiye na kitu anaweza ama ana haki ya kunyang'anywa "kitu" ambacho bado hatujui specifically kama anacho ama la.
 
Asiye na kitu alitishiwa kunyang'anywa kitu, na aliye na kitu aliambiwa atapewa kitu ambacho aliyemuahidi hana! Je asiye na kitu anaweza kunyang'anywa kitu?

MKJJ,
Sipendi kujibu swali juu ya swali. Ila hii ni sawa na kuulizwa unaweza kulisimamisha yai? Jibu ni kuwa ndiyo. Ila inabidi ulirushe kutoka kama urefu wa 5 cm na likianguka linavunjika kidogo na kuweka kitako.

Swali lako inatakiwa kujibu hivyo hivyo. Kama umetishiwa kunyang'anywa kitu na wewe huna na ukatoa ahadi kuwa utatoa kitu, jibu ni moja tu. Inabidi umuahidi jamaa aje achukue hicho kitu. Wakati unampa, basi chini yake uwe umeshika bastola. Akitoa mikono kupokea basi hapohapo MMALIZE.
Anyway hii ya kummaliza zinaweza kuwa njia nyingi sana. Ila ninavyofahamu Mafia wametumia sana kwa mafanikio makubwa. Kill them all and you will be free like atoms of oxygen. Sasa hivi uko Kwa Sadala na baada ya nusu saa uko Kahe.
 
Back
Top Bottom