Dark City JF-Expert Member Oct 18, 2008 16,253 11,598 Dec 28, 2011 #21 Mhhh, Wewe umeanza uchokozi hata bila kusubiri mwaka mpya uanze, Yetu macho!!...Ngoja tusubiri, titaona mwisho wake!!
Mhhh, Wewe umeanza uchokozi hata bila kusubiri mwaka mpya uanze, Yetu macho!!...Ngoja tusubiri, titaona mwisho wake!!
Cantalisia JF-Expert Member Sep 26, 2011 5,222 2,925 Dec 28, 2011 #22 Zinduna said: Kule nimepapenda kuna Ami yangu, ngojea nikupeni jibu sasa. Click to expand... Nasubiri jibu kwa hamu kali lol!
Zinduna said: Kule nimepapenda kuna Ami yangu, ngojea nikupeni jibu sasa. Click to expand... Nasubiri jibu kwa hamu kali lol!
J Jeho JF-Expert Member Jul 2, 2011 5,053 5,503 Dec 28, 2011 #23 Tegaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa.
Viol JF-Expert Member Dec 15, 2009 25,426 18,228 Dec 28, 2011 #24 tatizo ya umetumia kilugha,ebu tafsiri nitapata jibu
Zinduna JF-Expert Member Nov 6, 2011 2,378 3,379 Dec 28, 2011 Thread starter #25 Ousofia said: tatizo ya umetumia kilugha,ebu tafsiri nitapata jibu Click to expand... Junior Member Array Join Date : 28th December 2011 Posts : 8 Rep Power : 30 We nawe, kujiunga leo tu, unataka kujua kila kitu, wewe bado ni Njuka subiri ukomae kidogo.
Ousofia said: tatizo ya umetumia kilugha,ebu tafsiri nitapata jibu Click to expand... Junior Member Array Join Date : 28th December 2011 Posts : 8 Rep Power : 30 We nawe, kujiunga leo tu, unataka kujua kila kitu, wewe bado ni Njuka subiri ukomae kidogo.
Viol JF-Expert Member Dec 15, 2009 25,426 18,228 Dec 28, 2011 #26 Zinduna said: Junior Member Array Join Date : 28th December 2011 Posts : 8 Rep Power : 30 We nawe, kujiunga leo tu, unataka kujua kila kitu, wewe bado ni Njuka subiri ukomae kidogo. Click to expand... mi njuka ila mambo yangu makubwa
Zinduna said: Junior Member Array Join Date : 28th December 2011 Posts : 8 Rep Power : 30 We nawe, kujiunga leo tu, unataka kujua kila kitu, wewe bado ni Njuka subiri ukomae kidogo. Click to expand... mi njuka ila mambo yangu makubwa
Zinduna JF-Expert Member Nov 6, 2011 2,378 3,379 Dec 28, 2011 Thread starter #27 Ousofia said: mi njuka ila mambo yangu makubwa Click to expand... Mambo makubwa ndio usijue maana ya neno Mekoni?
Ousofia said: mi njuka ila mambo yangu makubwa Click to expand... Mambo makubwa ndio usijue maana ya neno Mekoni?
Viol JF-Expert Member Dec 15, 2009 25,426 18,228 Dec 28, 2011 #28 Zinduna said: Mambo makubwa ndio usijue maana ya neno Mekoni? Click to expand... nitapata wapi mda wa kutafakari wakati macho yangu yamegota katikati ya hiyo picha yako.
Zinduna said: Mambo makubwa ndio usijue maana ya neno Mekoni? Click to expand... nitapata wapi mda wa kutafakari wakati macho yangu yamegota katikati ya hiyo picha yako.