Kitendawili

Papi Mucho

Member
Aug 19, 2010
26
7
Ni cheupe kama barafu na ni cheusi kama giza. Kuliwa ni HARAMU na kunywewa ni HALALI, kina herufi (5) na kinaanza na herufi (M). Kinatumiwa na wanaume mara tatu kwa siku na kinatumiwa na wanawake mara moja tu katika umri wao,Je ni kitu gani hicho?
 
mkuu me naomba nikupe mji,
maana nimechanganya bongo lkn wapi.
 
Hılı swalı nımeulızwa kama mıaka 2 lakını mpaka sasa sıjawah kupata jıbu.
 
Ni cheupe kama barafu na ni cheusi kama giza. Kuliwa ni HARAMU na kunywewa ni HALALI, kina herufi (5) na kinaanza na herufi (M). Kinatumiwa na wanaume mara tatu kwa siku na kinatumiwa na wanawake mara moja tu katika umri wao,Je ni kitu gani hicho?

Nimeshindwa mkuu, nakupa Mji nenda Wete then naomba jibu
 
Nakupa mji, nenda Mogadishu, toa jibu na mi nchukulie umaarufu mtaani.
 
Hamna jibu hapo coz
1.hamna kitu cheupe na cheusi hapo hapo
2.kitu kama ni haramu hata kunywa ni haramu pia
 
Back
Top Bottom