Nimekuwa nikisikia kila mara kuhusu hili suala la wanamtandao. Kuanzia kampeni za uchaguzi, utawala wa nchi, uteuzi wa viongozi wa serikali ya Mh. JK etc. Naomba kujua, je, ni kina nani hawa? Je, diyo wenye kuongoza serkali? Nguvu zao ni kubwa kiasi gani katika kutuchagulia viongozi? Je, kazi zao zaonyesha ni kulegalega kwa utawala wa sheria hadi watu ku-seek protection ya hawa wanamtandao? Ni njia gani ya kuondoa hii dhana ya wanamtandao? Je, wanaweza kuwa na nguvu kama mafioso wa kirusi?
Naomba jibu wanaJF!
Naomba jibu wanaJF!