Herbalist Dr MziziMkavu
JF-Expert Member
- Feb 3, 2009
- 42,268
- 33,040
Haya tena wakuu nawauliza Swali Kuna binadamu aliye zungumza na Mwenyeezi Mungu, huyo binadamu anaitwa nani jina lake?Nawaombeni munipe jibu lililokuwa sahihi asanteni sana.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Join Date : 3rd November 2011Kakojoe ulale
Kakojoe wewe ulale huna Adabu wakubwa wako unawatukana namna hivyo.Kakojoe ulale
wengine hakufunzwa na Wazazi wao mkuu wanafikiri watu wote humu ndani ni kama yeye.. Kama huna cha kuzungumza bora usome na unyamaze pita njia kama gariJoin Date : 3rd November 2011
Posts : 19
Rep Power : 0
Hebu jaribu kujiheshimu
Mkuu umeshinda nakupa medali ya Dhahabu hoyeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeekiimani ni Mussa or Mosses
Kisayansi-wamegoma hakuna Mungu
Kuna sheria za hii jamii forums ukikkiuma moja kati hizi sheria utafungiwa usiweze kuingia tena hapa kwenye hili jukwaa hebu soma hapa chini Kuwa na adamu unapomjibu Mtu usilete maneno yako machafu hapaKakojoe ulale
yesu na maria!!! we mtoto mbona adabu huna!!!Kakojoe ulale