Kitendawili siku ya mwana....

Magulumangu

JF-Expert Member
Jan 7, 2010
3,047
452
Wana wawili kijiweni walikuwa wanateta jambo, mmoja akionekana kukerwa na jambo furani, akaanza...
Mkuu leo ile ngozi imenigharimu sana, babake nikaenda kati hamna ukuta, pembeni kulia uterezi tu,kushoto nako kipingamizi hamna, dah nikasita kidogo, nikajaribu juu hamna kitu, chini nako shaa tu...nikaona hapa haiwezekani....
Mwingine kadakia...vipi mwanhuzi nako mterezo au? Jamaaa kasema, sikuamini matumizi yangu mzee, nilipiga huko pia tayari used lkn ilionekana kama mpya, used sana mzee...

kweli mandugu hapa nilitoka mtupu leo...naomba tu mwenye kujua nini kilikuwa kinaongelewa hapoa amwage ili kunisaidia na wengi wetu hapa.....

wenu wa mangu....
 
dah! i think wanazungumzia Dawasco! Madem wengi siku hiz hadi DAWASCO napo ni used.hahaaa mambo ya majitaka hayo.!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom