Kitendawili Prof. Sarungi,igogo Na Fedha Za Tacaids Na Makao Makuu Ya Wilaya Rorya

Kila mmoja anahaki ya kutoa maoni na kila mmoja ni vizuri akayaheshim maoni ya wengine. kwa kifupi Rorya ninayoijua mie iko kama ifuatavyo kama ntakosea mtanisahihisha

(1) More than 50% ni wajaluo katika wilaya nzima ya Rorya na the remainder ni sisi vikabila vidogovidogo.
(2) Wajaluo ndio wamesoma zaidi ya vikabila vidogovidogo
(3) Wajaluo ndio wanaoleta migogoro yote hiyo kwa sababu kila ukoo wa kijaluo lazima una matajiri wachache ambao wanakua na influence kwa wajaluo wenzao.
(4) Wajaluo ndio wanaongoza kwa kukaa vijiweni na kupiga majungu kama haya na mwisho wake hayana impact yoyote katika maendeleo ya Rorya.

Kwa kifupi hata huyu mtoa hoja kwa jinsi alivyo present anaonekana maelezo yote kayatoa vijiweni huko Ujaluoni na kakimbia faster nae akajua amepata skendo ya kuleta JF baada ya chati ya JF kupanda ghafla.
Pili huyu mtoa maada ni walewale wanaogombania masrahi yao binafsi (wajaluo) na sio masirahi ya wote.

Hapa sina maana nawachukia wajaluo ila maana yangu kuna wajaluo wachache wenye miji hela wanataka kutugawa wana Rorya bila kuangalia mbele nini kitatokea (NGUMI).

Cha msingi jamani tuongelee mambo yenye tija kuhusu Rorya kama na sisi tunaopata mwanya wa kutokea hapa JF tunakua na mitazamo ya vijiweni (bila evidence) hatutayaondoa matatizo ya Rorya na tutabaki kua waongeaji na vurugu hadi kiama.

Ni mtazamo tu
 
YAP TUNATAKA MAMBO YA MAANA SIYO MAJUNGU!! MFUNDISHENI HUYO MWENZENU, MMWAMBIE TOTO WAKIUME UMBEYA HAUFAI!! NDO MAANA WAMEISHIA KUCHONGA MIHURI NA KUGUSHI SIGNATURE ZA WATU!!!

WEWE MCHUMIA JUANI ELEWA YAKWAMBA

1. ULIZALIWA JUWANI

2. UKALELEWA JUWANI

3.UMEKULIA JUWANI

4. UNACHUMIA JUWANI

5. SIKUZOTE UTALIA JUWANI

6. UTAOWA HUKO HUKO JUWANI

7. UTAZALIA JUWANI

8.UTALEA HUKO HUKO JUWANI

9 UTAZEEKEA JUWANI

10 UTAFIA NA KUZIKWA HUKO HUKO JUWANI!!!!!!!!!!!

HIVYO UR EXISTANCE IN THIS WORLD = 00000000.000
 
UNAPOSEMA NIMETUMIA JINA LA Dr. MAKOYE KWAMBA UKUTAJA MAJINA, MBONA UMETAJA IGOGO AU SARUNGI KAMA HII ISSUE SIYO PERSONAL 2U.

KWANINI UKUTAJA MMILIKI WA RAO HOSP. KWA JINA LAKE.
UNALETA UDAKU.
SINA MAJUNGU NAMTU NA WALA SIOGOPI MTU, KAMA U'VE FACTS SHOW THEM???? SIO UNATAJA MAJINA YA WATU KATIKA MAMBO USI YO YAJUA, NA THATS WHY I CALLED MPUMBAVU, AND WILL INSIST WEWE U R MPUMBAVU!!!!!!!

:confused:
 
hakika wote mnaobishana humu so what, nyererist na mchumia juani.

nasikitika sana mbona mmeruka hoja kuu?

hiyo KOSHIKA women group ilala ndiyo ina network kubwa Dar na UTEGI? nadhani kuna logic huu wivu mnaousema sio jibu.
kama ni wivu wa kweli sio shida lakini kwanini waibe wakati kila kitu kiko wazi.

IGOGO simjui sana lakini kama ni yule wa bandarini kweli mshikaji ni mafia alimsaidia Lakairo kupata tenda ya jeshi vifaa vilitoka south africa mzee SARUNGI alipata tabu sana kumpa hiyo tenda,kifupi haikufuata utaratibu, nayo ni richmond kama wadanganyika wangeifuma!

RAO hospital kama ni kweli inakufa kwa umaskini ulioko huko mnakoita SHIRATI nadhani aliyeijenga na kuweka gharama kubwa ni mjinga kwelikweli, utawekaje gharama kubwa kwa maskini? sasa kama shida yake sio pesa si atibu bureeee???

hoja zenu ni dhaifu sana hivi kweli kina mama wanaoshona cherehani wanaweza kuendesha mradi wa benki ya dunia?

mimi najua mtandao uliotengenezwa na EL na Sarungi baada ya kamabi ya sumaye kudondoka walijaribu kuunganisha mkoa wote wa mara kutumia Rorya ndio maana zawadi ilitolewa kuwa wilaya, na kwakuwa Tacaids bosi alipewa mke wa katibu mkuu wa LOWASA, MRISHO ikawa rahisi kutoa rushwa ya pesa hizo msiwadanganye watu wasiojua mambo ya ndani lakini juhudi za mtu akipata pesa anaonekana sana je wabeba miigo hawana akili?

hao AYA,REDCROSS na AMREF hawajui kuandika proposal zaidi ya hao kina sarungi?

fikirieni sana mazee msikimbiekimbie tu kama mnatetea teteeni lakini sio ukweli?

makao makuu ya rorya hata pinda alishindwa kwakuwa kuna usiri usiofahamika na kama ni kijiwe sio rorya tu ndio wavivu nchi yote watu wako kijiweni hata mie ninayeandika hii nalipwa 250,000 kwa mwezi huu mshahara sio kijiwe tu?
acheni maneno ya jumla jumla!
 
KUNA WATU WANA AKILI SANA YA KUFIKIRI,KAMA RORYA TUNGEKUWA NA WATU WA AINA HII KUMI KAMA MWANDISHI WA MANENO HAYO HAPO JUU TUNGEKUWA MBALI.IFIKIE KIPINDI TUKUBALIANE KUWA RORYA IMEKUWA DHAIFU KIMAENDELEO KUTOKANA NA TABAKA LA WATU FULANI.
NIMETOA HOJA KAMA UNAIONA YA KIJIWENI BASI IPINGE KWA FACTS,MASUALA MAKUBWA NILIYOONGELEA NI MTANDAO WA ORGANISATION KOSHIKA WOMEN GROUP ILIYOSAJIRIWA KUFANYA SHUGHULI ZAKE ILALA KUPEWA FEDHA ZA LAKE ZONE.KWA USHIRIKA WA CLERING AND FORWARDING AGENT,SARUNGI NA RAO HOSPITAL.KAMA SO WHAT UNA HOJA ZA MSINGI KUJIBU HOJA ZANGU UNGELETA USHAHIDI WA KUONYESHA COMPETENCE YA WATU WALIOPEWA TENDA.
MIMI SIJAHUDHURIA CHUO CHA MATUSI ULICHOSOMA ILA NAYAJUA MATUSI MPAKA KWA LUGHA YAKO MWENYEWE KAMA VILE NG'ONY MERU,SUNDI MERU NA KADHALIKA ILA SIPENDI KUYATUMIA.
HATA HIVYO SIKUW NAFAHAMU MAANA YA JINA LAKO-SO WHAT???
watu wale fedha za nchi-so what???,Wasio na ujuzi kupewa tenda-So what???,Masikini kudhulumiwa-SO what??? HIYO NDO MAANA YA SO WHAT? YAANI MASIKINI HANA HAKI YA KUHOJI
NASHUKURU KWA KUGUNDUA KUWA NIMEZALIWA JUANI NA NITAFIA JUANI LAKINI FAHAMU KWAMBA HATA KAMA UMEZALIWA KWENYE AIR CONDITIONER KWA UFISADI WAKO NA WA BABA YAKO BADO UKIFA SOTE TUTAKUWA MAVUMBI TENA UNA BAHATI MBAYA MAANA NAONA UNA TIKETI YA AHERA.
CHA MSINGI ELEWA KUWA HATA KAMA MIMI NI MASIKINI NINA HAKI YA KUHOJI MAMBO YASIYOKUWA SAWA.
NINACHOHOJI NI COMPETENCE YA HUU UTATU WA RAO,UTEGI NA KOSHIKA,NINAO USHAHIDI WA KUTOSHA KUHUSU CHAIN HII,KUNA BAADHA YA DOCUMENT NAZI PROCESS SUALA HILI UTALISIKIA KATIKA UKUMBI WA KITAIFA.
KWA HIYO MR. SO WHAT USIPARAMIE HOJA NA KUANZA KUTOA MATUSI WE FISADI.
 
Mchumia juani,

Mimi sitoki Rorya..ile hii thread nimedevelop interest!

Kifupi hoja kujibiwa kwa hoja na sii matusi na kejeli!

Ni vema wana Rorya mkasilikizana, mkasheshimiana na kwa pamoja kuweka mikakati kuleta maendeleo yenu!

Kule kwetu tunakotoka..tunajadiliana na kutofautiana..ila tunaheshimina.. na tunaona maendeleo makubwa sana kwa sasa!

Tafadhali haina haja ya lungha za kejeli au matusi- nadhani wana Rorya you can argue better!
 
Kwa Mzalendo Halisi

Shukrani kwa Maoni yako,sisi wana Rorya naamini ni wastaarabu sana,Ila kuna baadhi ya Mafisadi wachache kama akina So What ambao wana kiburi cha kujivunia mali za baba zao na kuanza kututukania Umasikini,ana uhakika gani kuwa mimi ni Masikini?
Hili linadhihirisha wazi kuwa Rorya bado kuna watu hawajakomaa kifikra,jamaa ameamua kumtetea Sarungi na Igogo kwa nguvu na Misuli yote ya mwili kwa matusi na kejeli kwa hoja yangu,mimi nilisema nitaendelea kusimulia hoja hii kaanza kutitukana mimi masikini nina wivu na bado anaona haya tu angekuwa ashanitukania mama yangu.
Anyway sitaendelea kumjibu FISADI SO WHAT,Kwani mwenye Hekima hajibu tusi kwa Tusi.
NA BORA KUWA MASIKINI WA MALI KULIKO KUWA TAJIRI WA FIKRA DUNI
 
Wakuu Heshima Zenu.

Nadhani kuna ajenda iliyojikita katika malumbano ya hawa wajaluo warorya.

Hivi ni vita na mbinu za kjaribu kuweka misingi ya 2010. Zina kila dalili za fitina, majungu, na mashindano ya koo.

Tusikubali Forum itumike kama uwanja wa kampeni.

Hivyo ikiwezekana ningeshauri hawa mafahari watumie PMs kutukanana.

Natoa Hoja !!!
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom