Wewe ungekuwa ticha hapo ungesemaje??mmh utata mtupu, ticha nae aliwaza mbali sana.
tatizo mwalimu ana miaka zaidi ya kumi na nane, mwanafunzi under 10, anajua utamu wa sukari tu , .... du hii kalikauli tata hizo, mwalimu lazima achukue tahadhari.