Kama kaiba makololo ambayo yeye kaona ni mali halafu kafanya usafi, ofkozi nitachekelea!
mwizi akiingia nyumbani akakuibia halafu akavipanga vitu vyako na kufagia utamshukuru kwa usafi?
Yeah..mkubwa hapo juu namuunga mkono..mabomu yalishuka kwenye ubalozi wa marekani hapo Dar pia na Nairobi..kamakuna jingine sawa but hiyo nayo ilikuwa mojawapo ya jambo zito lilitokea siku hiyo..tupo sawa mwanakijiji?
Balali alikuwa ana vision na mission nzuri sana, siasa ndo zilimvurugia mipango yake. Rest in peace good man. Umetuachia alama za kudumu (twin towers) tutakukumbuka in all our generations........
Kama alivyofanya Sakina Datoo?Unajua ndiyo Tatizo moja la Tanzania mkuu. Balali had the option to resign kama aliona mambo yanayoendelea ni against his principals. Why didn't he quit sooner? It means aliona perks za ofisi were worth any outcome. I don't know why Tanzania mtu kujiuzulu ni mpaka awe cornered.
Unajua ndiyo Tatizo moja la Tanzania mkuu. Balali had the option to resign kama aliona mambo yanayoendelea ni against his principals. Why didn't he quit sooner? It means aliona perks za ofisi were worth any outcome. I don't know why Tanzania mtu kujiuzulu ni mpaka awe cornered.
Kama alivyofanya Sakina Datoo?
Nakubaliana na wewe mkuu, tatizo letu hata resignation yako hapa nchini kwetu mpaka polititians waikubali eg Idrisa Rashid (TANESCO). Siasa zimetawala kila kona hata katika mambo ya kitaaluma.
2.Ya pili ni mtu ana andika barua ya kujiuzulu hoping bosi wake hata ikubali. Hii ina maana akiendelea kuboronga siyo makosa yake tena bali ya bosi wake. Si uhakika but it was rumored that EL aliandika barua ya kujiuzulu hoping JK ange kataa resignation yake.
Lakini bado mkuu if a person sincerely wants to resign hata bosi wake hawezi kumzuia. Because kila bosi kama siyo kutaka mchapakazi basi at least atataka mtu loyal kwake. Na kama anajua mtu ana nia kweli ya kujiuzulu anajua huyo mtu akibaki hata chapa kazi kama ipasavyo na wala hawezi kuwa loyal kwake.
Unajua ndiyo tatizo moja la Tanzania mkuu. Balali had the option to resign kama aliona mambo yanayoendelea ni against his principles. Why didn't he quit sooner? It means aliona perks za ofisi were worth any outcome. I don't know why Tanzania mtu kujiuzulu ni mpaka awe cornered.
Nakubaliana na wewe mkuu, tatizo letu hata resignation yako hapa nchini kwetu mpaka polititians waikubali eg Idrisa Rashid (TANESCO). Siasa zimetawala kila kona hata katika mambo ya kitaaluma.
Kama kaiba makololo ambayo yeye kaona ni mali halafu kafanya usafi, ofkozi nitachekelea!
Kama kaiba makololo ambayo yeye kaona ni mali halafu kafanya usafi, ofkozi nitachekelea!
Mabomu ya Dar na Nairobi yalitokea August 7, 1998. Hapa tarehe inayo ongelewa ni July 12 1988.
Ilikuwa September 1999Mwal. Nyerere alisafiri kwenda St. Thomas London kwa matibabu siki gani???
Mwal. Nyerere alisafiri kwenda St. Thomas London kwa matibabu siki gani???