Kitchen Party

Kitchen Party ilikua zaidi katika nchi za jirani saana Malawi na Zambia. Maana ya Kitchen Party ni kua sherehe inayohusisha kumpongeza binti soon to be married; ikihudhuriwa na wa mama pamoja na rafiki zake wa karibu huyo bride. Hii mainly imelenga katika kuhakikisha bi harusi anapata vifaa na vyombo vyoote vya jikoni. Ni tofauti kabisa na Unyago. Unyago iko deep na yaelemea zaidi katika mambo na ufanisi wa sita kwa sita, na pia kujitunza mwanamke katika kila idara huku ikisistizwa jinsi ya kuhandle wanaume (mme); Huku kitchen party thou siku hizi wazungumzia na hio pande ya sita kwa sita… wamefanya kuchakachua tu! Kwa muktadha huo (malengo ya kupata zawadi) usishangae wafanya kitchen party. Hata hivo kwa upande wa mambo ya 6/6 ni kweli kua wengi wajua kufanya mapezi but ni wachache wanajua basics za hayo mambo hasa yale ya msingi, hivo umuhim wa kufundwa uko pale pale…..
 
Back
Top Bottom