Kitandani kwetu...

Pole sana.

Ingelikuwa jambo la busara ukamsitiri mumeo. Kumbukuka mumetoka wapi kimaisha. Sawa pamoja kuwa mumeo ni mshenzi wa kutupa maana kufanya mambo kitandani kwenu ni kuisaliti ndoa yenu na bila shaka amezoea. 40 yake imefika ukaona Live mwenyewe.

Ushauri mzuri muongee na mulitatuwe wenyewe bila hata ya mjomba kujuwa.

Hata hivyo mumeo hana adabu. Lakini anaweza akatubu toba ya kweli na life yenu ikabadilika kabisa.
 
Mamaa, get out while the going is still good! Usisubiri mpaka siku utolewe macho ndio uanze kusema 'ningejuaa'....! tatizo la nyinyi mama na dada zetu ni kutojiamini kwamba ukiachana na mumeo huwezi kuwa na maisha tena which is wrong. wale wamama wenzenu mnaowana wametolewa macho na meno ilianza kidogo kidogo. anapigwa kibao, anasamehe na kuvumilia. kesho mume analala nje, anavumilia kisa eti kwa ajili ya watoto. kesho kutwa mume anakuja na mwanamke ndani ya nyumba, bado anaambiwa na mama yake avumilie kwa sababu wanaume ndivyo walivyo, pleeeeeeaasea! get real, people!
Dharau ya mwisho kabisa mwanaume anayoweza kumfanyia mkewe ni ile ya kumleta mwanamke mwingine ndani ya nyumba na kufanya naye matusi juu ya kitanda chenu cha ndoa, pamoja na gesti house bubu kibao zilizojaa huko vichochoroni!
Huyo mumeo ameishakuona unamtegemea yeye na huwezi kufanya chochote na lazima utarudi tu and you are playing right on his hands! ndio maana kila siku una kazi ya kufunga safari kwenda kuchukua leo gauni, kesho gagulo, keshokutwa viatu! really??!!! kwa nini hukuchukua vyote tangia mwanzo ili huyo mumeo ajue kwamba kazi ipo???!!!??

JIULIZE: hivi toka ulivyokwenda kukaa kwa nduguzo ameishakuja mara ngapi kukubembeleza na kukuangukia angalau mzungumze tu??? kuwa mkweli.
 
Samehe saba mara sabini!hakuna kosa lisiloweza "kusameheka"sijui kiswahili sahihi!
 
Aisee, dawa ya moto ni moto. Na wewe pia jikamatie wako, kisha mkaribishe mumeo nyumbani kwako mdanganye unataka mzungumze. Basi anapobisha mlangoni, wewe jitundike kwenya ile position uliyompiga picha. Acha nawe anusurike sawa sawa, mshenzi.
 
kwanza pole na pili kwa ushauri wangu kuachana pia huwa ni wazo zuri kama kweli unaona utakua na amani ila kama hautokua na amani then sio busara.

fuata moyo wako unasemaje mana humu tutakuchangaya we uka fanya uamuzi usio na busara.

dah ila story ya kipekee,mshikaji ana excuse ya kufa mtu!!!!
 
Aisee, dawa ya moto ni moto. Na wewe pia jikamatie wako, kisha mkaribishe mumeo nyumbani kwako mdanganye unataka mzungumze. Basi anapobisha mlangoni, wewe jitundike kwenya ile position uliyompiga picha. Acha nawe anusurike sawa sawa, mshenzi.

Nani atakayejaribu kufanyiwa majaribio? Labda wawe hotelini! Huu suhauri noma;)
 
Waliosema dawa ya moto ni moto, hawakukosea kabisa. Jinsi ulivyomkamata kitandani akicheza kwasakwasa, na wewe pia jitafutie wako, kisha mwite mumeo, akija basi jifanya upo kitandani na wako akupendae, unadumbwika kishenzi. Mbona atazimia.
 
kwanza pole sana kwa yaliyokutokea.

Jaribu kutafakari ushauri mbalimbali uliyotolewa na wachangiaji waliotangulia, ambao naona wengi wao wanashauri usichukue uwamuzi wa kutarakiana.

Pia, nakuomba ujiulize kama na wewe je umeshawahi tenda kosa na dhambi kama hiyo, hata kama siyo ndani ya nyumba na kitanda chenu.

Jibu na uwmuzi utakaochukua kufuatia swali langu bila shaka utakuwa wa busara sana.
 
Samehe saba mara sabini!hakuna kosa lisiloweza "kusameheka"sijui kiswahili sahihi!

Hollo,
Kusamehe sio ishu maana anaweza kumsamehe lakini akaachana nae vilevile!!
Msamaha ni rahisi ila je utaendelea nae au utaamua kuanza upya life???

Chellenge kwa huyu dada ni where to start?? be wise, think wisely and act wisely!! usifanye papara dada langu!!

..........
 
Pole sana dada inauma ila ndo kitandani kwenu!! kweli wanaume wengine si waoga! mabaradhuli kwa nini asiende guest!!
Pole sana but follow your heart
 
Mamaa, get out while the going is still good! Usisubiri mpaka siku utolewe macho ndio uanze kusema 'ningejuaa'....! tatizo la nyinyi mama na dada zetu ni kutojiamini kwamba ukiachana na mumeo huwezi kuwa na maisha tena which is wrong. wale wamama wenzenu mnaowana wametolewa macho na meno ilianza kidogo kidogo. anapigwa kibao, anasamehe na kuvumilia. kesho mume analala nje, anavumilia kisa eti kwa ajili ya watoto. kesho kutwa mume anakuja na mwanamke ndani ya nyumba, bado anaambiwa na mama yake avumilie kwa sababu wanaume ndivyo walivyo, pleeeeeeaasea! get real, people!
Dharau ya mwisho kabisa mwanaume anayoweza kumfanyia mkewe ni ile ya kumleta mwanamke mwingine ndani ya nyumba na kufanya naye matusi juu ya kitanda chenu cha ndoa, pamoja na gesti house bubu kibao zilizojaa huko vichochoroni!
Huyo mumeo ameishakuona unamtegemea yeye na huwezi kufanya chochote na lazima utarudi tu and you are playing right on his hands! ndio maana kila siku una kazi ya kufunga safari kwenda kuchukua leo gauni, kesho gagulo, keshokutwa viatu! really??!!! kwa nini hukuchukua vyote tangia mwanzo ili huyo mumeo ajue kwamba kazi ipo???!!!??

JIULIZE: hivi toka ulivyokwenda kukaa kwa nduguzo ameishakuja mara ngapi kukubembeleza na kukuangukia angalau mzungumze tu??? kuwa mkweli.

Naam BabaDesi has said it all!!
 
Eeeh anakuja kufanya nae matusi kwenye kitanda chenu ili awe anavuta hisia za mapenzi ambayo hupewa na mkewe then ana compare.
Heeeeeeeey wanaume hatari!!!!!
 
Huyo keshafanya mara nyingi tu .. Mungu alitaka kukubainishia na kumdhalilisha maana wewe humwendei kinyume ila naona hatakoma kwani yaelekea ni tabia yake .. Mwanaume nuksi kweli kweli huyo
 
Kwanza nakupa pole mwana JF mwenzangu kwa huo masala maana its pain so much. Nionavyo mimi katika swala la mapenzi kuna majibu mawili tu, [1] Kukubali [2] kukataa. Tatizo lako ni zito sana na hauitaji kuchukua maamuzi ya haraka haraka u need to have a great time to think about the whole situation and then u can get the real answer. Naomba utafakari kwa makini halafu uchague jibu moja tu, kama ni kumasamee nakusahau yote yaliyotokea au achana nae na uendelee na mipango yako bila kumuwaza yeye.
 
usimuache mumeo bwana msamehe.......maisha ya upweke hasa kwa mwanamke hayana heshima..mwanamke asiye na mume mara zote huzarauliwa hasa na wanawake wenzake..na muda wote humuona kama anaweza kuwaibia waume zao...they tend to keep distance ......ni raha sana ukizeeka na mumeo...thats why watu wanaoelewa hili ..kuliko kuachana houna bora kulala vyumba tofauti ..na hii huwa siri ya ndani ..hata watoto huwa hawasemi...kila mtu akijiheshimu....na hakuna kuleta mwanamke au mwanamme nyumbani....kama ni upuuzi huko huko....nyumbani hushirikiana kila kitu kasoro chumba.....wanandoa wengi wa aina hii ipo siku wao wenyewe huamua kusameheana kabisa ..kwa sababu wote wanaonana kila siku.......watahangaika mwisho kila mmoja ataona hakuna zaidi ya mwenzake.......sasa kama siku mkiamua kuyamaliza lazima MPIME UKIMWI ili mjue mnaanzia wapi..

kosa kubwa ni kufanyia umalaya ndani ya marital home lakini asikudanganye mtu wanaume karibu wote sawa tu...tena afadhali mwanamme anayejulikana player..kwa sababu player huwa hanasi ...[hit and run]...lakini wanaume wapole ndio hao siku akipata mwanamke wa nje ...anajiona kama kapata lulu ..anaweza kuhamia ...lakini mwanamme mtundu huwa hajisahau hata siku moja.....hakuna mwanamke anayeweza kumpagawisha kwa sababu ANAONA WANAWAKE NI JAMBO LA KAWAIDA....ni mwanamume mshamba ndio huzuzuka...mjanja wanawake wanamfuata kwa kuwa anajua kazi...na akirudi nyumbani ni kazi kama kawaida..........usingweza kukaa wiki nyumbani bila kumrudia..ungeona kuwa ..ukisusa wenzio wala!!!
 
Pole sana dada,

Wengi wamechangia nadhani umewaelewa, lakini kabla ya kuchukua uamuzi usikilize moyo wako unasemaje.

pili kama utaamua kumsamehe sharti moja kubwa ni kuelekea ANGAZA kabla ya yote. Pole sana dada Mungu atakutia nguvu
 
wewe usikubali kuhachana na mumeo kwa sababu ya kumkuta na mke mwengine,wewe msamehe then mkapime,after that jaribu kufanya nini mume anataka,pengine unamapungufu fulani kitandani ila usikubali kuondoka hata siku moja kwa sababu iyo
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom