Kigarama
JF-Expert Member
- Apr 23, 2007
- 2,492
- 1,230
- Thread starter
- #21
Hao hawafuati "mahusiano" bali wanafuata ngono. Ngono hata jalalani inawezekana!!Hata uwe na kitanda kizuri namna gani km hamna hisia za ndani na ufanisi katika huduma toka kwa hao wanaolala hapo ni kazi bure, Kwanza upendo/mapenzi halafu mengine yanafuata.
Wapo matajiri wenye kila kitu ndani lakini bado wanalazimika kwenda uswahilini kwenye vitanda vya banko na wanalala usingizi fofofo na kujisikia raha na hao wanaolala nao.