Kitanda: Shahidi asiyesema wa mambo yetu ya siri!

ni Yesu na sio Yessu!

Ok, ok, ok, Yesu, umeshaelewa? kama bado huyu hapa, au unabisha si yeye?
Cristo.gif

 
Mwanakijiji naomba tafadhali ungeaandaa shairi kuhusu kitanda

uliposema kitanda rafik wa kweli.
hutupokea na huzuni zetu
hutupokea na vicheko vyetu
hutupokea na mawazo yetu
hutupokea na papara zetu

kitanda hakituhukumu...
kitanda hakisemi neno
kitanda chenyewe hakina neno...
 
Mwanakijiji naomba tafadhali ungeaandaa shairi kuhusu kitanda

uliposema kitanda rafik wa kweli.
hutupokea na huzuni zetu
hutupokea na vicheko vyetu
hutupokea na mawazo yetu
hutupokea na papara zetu

kitanda hakituhukumu...
kitanda hakisemi neno
kitanda chenyewe hakina neno...

Ila vipo vinavyolalamika, na vingine huchoka na kuwa tayari kubadilishwa!
 
Haya KITANDA leo umekumbukwa kwa wema wako kwa kiumbe anaejiita mwanadamu, siku yamwisho najua utamsemea kwa sir god madhambi yake kadhaa aloyafanyia juu yako..
 
kama kitanda kingekuwa kinatuadhibu kwa kila uovu tunaoutenda tukiwa juu yake, hakika ingekuwa balaa. fanya ufanyavyo kimetulia kinakuliwaza
 
Kitanda ndie rafiki yangu pekee anayejua siri zangu zote!
Ni sehemu pekee ninayoipenda na kuiheshimu nyumbani kwangu!
Nakipenda kwan kulala ndio starehe yangu!
 
Mwana wa Mungu, King of Kings, King of Peace, the first born from the dead, the saviour of the world,
He created the earth and He will rule it.

Wakasema wote, Basi, wewe ndiwe Mwana wa Mungu? Akawaambia, Ninyi mwasema kwamba mimi ndiye.
Luka 22.70
Amemtegemea Mungu; na amwokoe sasa, kama anamtaka; kwa maana alisema, Mimi ni Mwana wa Mungu.
Mathayo 27.43
 
Wakasema wote, Basi, wewe ndiwe Mwana wa Mungu? Akawaambia, Ninyi mwasema kwamba mimi ndiye.
Luka 22.70
Amemtegemea Mungu; na amwokoe sasa, kama anamtaka; kwa maana alisema, Mimi ni Mwana wa Mungu.
Mathayo 27.43

Faiza acha ubishi! Kama unataka ubishi nenda kwa MaxShimba nafikiri mtawezana...
 
J
Jee, Yessu alilala kitandani?

Unaingiza UDINI HADI KITANDANI? WE MKAREEEEEEEEE!!

enewei.........
back to mada....
Kwangu mimi Kitanda ni sehemu ya kuheshimiwa sana.Huwezi kumkaribisha kila mtu kitandani kwako hata kukaa tu.
Kiimani - Kitanda kinapaswa kuwa kisafi kama madhabahu kwa namna zote - matandiko masafi na ikiwezekana yawe meupeee!!
Chumba unachoweka kitanda nacho chatakiwa kiwe safiiiiiii..Jihadhari na rangi unazopaka chumba chako pia.Kitanda ukitandika matandiko meusi - unajitakia balaa usiniulize kwanini maana hii ni mada nyingine.
Kitanda ukifanyia maovu - utasutika!

Inapokuja kwa maandalizi - kabla ya kulala - oga, swali, hakikisha hujashiba sana wala lulewa.Kula masaa awili kabla ya kubebwa na kitanda.
Ukipenda kunywa maziwa uchanganye na asali kabla ya kulala.Jisomee pia kama namna ya kubembeleza usingizi na kuongeza maarifa.
Sipendi kubeba matatizo yangu niingiapo kitandani.Jitahidi kuwa na mawazo mazuri kabla hujalala na ukiweza usipende kulala mapema sana.Kulala mapema sana unaweza kukosa usingizi na hivyo kuanza kuhesabu mabati, kama siyo kuhesabu mambo mengine mabaya!

Wanawake msipende kulala na pichu..... vaa nguo ya kulala au khanga.Kina kaka nanyi kama unalala na boxer basi isibane sana..ikuache huru.
 
Na anayemfukuza mwenzie kitandani mnamchukuliaje? Wengine tukiona hivyo tunasema kuvuja kwa pakacha hasara ya mwenye mali. Cha kuokota si cha kuiba. Kama mtu alikuwa analala kwenye kochi nyumbani kwake na sasa analala kitandani kwa raha zote japo kitanda si chake, haloo! Nawaambia kitanda ni mtu, siyo yale mambao na godoro. Mtu ana kitanda cha milioni kwake lakini hana hamu nacho!
 
Mzee Mwanakijiji mashairi yako huniacha hoi sana. kila mtu na fani yake, duh sijui hata mshkaji alifikiria nini hadi kuandika hivi!
 
Back
Top Bottom