Kitanda Cha Ukweli

kweli usingizi ule ule ila unafaraja kubwa zaidi kulikomaliyelala katika ngozi au mkeka
 
Tatizo hivyo vitanda vinabima huko waliko wanaojifa waonahaki miliki ya dunia hii, hivyo bongo havifaa mpaka makampuni ya uhakika ya bima ya vitanda,viatu,suruali, mikanda, waleti, saa, mademu, hengachifu, pete, cheni na mikogo yote ya kisharouharo.
 
Kwa Mazaga zaga ya huku kwetu hivyo havitufai, maana kuna mademu wazito km mamba au kiboko sasa ukimgalagaza hapo kinakatika.

sie saizi yetu vile vitanda vya POPO BAWA aaah hapo uwe na Mwana swala, Sungura au Kiboko ruksa!

hahahahah hahahah!! JF raha sana :)
 
unalalia kitanda unapata shida tupu mara unaota unafukuzwa na Simba au unatumbukia kwenye shimo refu.......lakini kitanda kizuri unaota unatalii Dunia mzima kwa ndege.................aaaaah Umasikini we acha tu una tabu sana...........
 
grave2.jpg

hiki ndio kitanda cha ukweli, utakacho lalia miaka na miaka.



ina lillahi, wa-inna illaihi raj'un.
 
moz-screenshot-2.png
Napenda kitanda chenye mashuka meupe na border nyeusi ndani ya chuma cheupeeeeeeeee na mapazia blach and white
 
6.jpg 5.jpg 2.jpg 13.jpg cinema1.jpg
gaga nakuomba ukaulizie show room ya hawa jamaa iko wapi hapa jijini jmos tukachukue profoma invoice.
 
Haya bwana, hizi huwa zinakuja kila mwaka kwa ajili ya ikulu ya magogoni, huwa natilia shaka ubora wake kama ni bora kwa nini tununue kila mwaka......ila vikiwa ndani vinapendeza saaana!!
Hata mimi nilitaka kusema hivo. Ni decoration ndio inafaya kitanda kuonekana che ajabu.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom