Kitanda cha kulala na mafanikio ya mwanaume katika maisha

Himidini

JF-Expert Member
May 8, 2013
5,534
4,185
^^
Sote tunafahamu umuhimu wa kitanda cha chumbani katika kuleta furaha ya mapenzi kati ya wapenzi wawili wa jinsia tofauti..Lakini pengine ni wachache wanafahamu kuwepo kwa uhusiano kati ya mafanikio ya wanandoa kitandani na mafanikio ya maishani.Bila shaka wanawake watafaidika zaidi na habari hii juu ya waume zao.
...
Wanawake walio katika ndoa wamewahi kujikuta ghafla waume zao waliokuwa na bidii katika biashara,kazi, au furaha ya kawaida,,wanabadilika ghafla ni kana kwamba wana mashaka na wake zao,au wanakasirika ovyo au kuchukizwa na sauti za watoto ktk familia au pengine asiwe na dalili hizo ila tu ameshuka moyo na nia ya kusaka maendeleo imepotea kabisa!!
...
Mwanamke ukiona dalili hizo usiogope au kutishika au kukimbilia mizizi,,sababu iliyo ktk mawazo ya kina ya mwanaume ni hii,,
Dokt Fort ambaye amejishughulisha na matatizo ya wanaume ktk mapenzi anasema kuwa
"...Mwanaume anaweza kuvumilia kushindwa ktk kazi,elimu,siasa, au jamii ilimradi tu anapata ushirikiano mzuri katika kitanda wakati wa mapenzi..Lakini mafanikio katika nyanja zote za maisha huwa hayana thamani yoyote ikiwa mwanaume hajafanikiwa kitandani,,kwa mwanaume kushindwa ktk kitanda ni kushindwa katika maisha..."
...
Mwanamke unapaswa kumtia moyo mumeo muwapo ktk tendo la ndoa,,mpe maneno mazuri,,gusia namna ambavyo unapendezwa na juhudi zake ktk maisha,,mpapase,,ongea kwa udhati hata kama unajua mumeo si bora ktk kazi.Fanya hivi kwa simu awapo mbali, kwa sms awapo kazini,,utasikia siku mmoja akitamka kwa rafiki zake '.. Mke wangu ni mwanamke kweli,nilipokuwa nimekwisha,,yeye tu alikuwa na imani kwangu..'
^^
 
kumbe hata kama hawezi kuperform vema inatakiwa umwambie we ni kishoka kitandani wakati sio kweli,bora nimwambie ukweli na kumtia moyo kuliko kumpaka mafuta kwa mgongo wa kuchupa na kulea uvundo.
 
kumbe hata kama hawezi kuperform vema inatakiwa umwambie we ni kishoka kitandani wakati sio kweli,bora nimwambie ukweli na kumtia moyo kuliko kumpaka mafuta kwa mgongo wa kuchupa na kulea uvundo.

^^
Ukweli ukisemwa kwa maneno ya upole unajenga,,lakini ukipayuka unaharibu Asnam
^^
 
Last edited by a moderator:
Naona wanamme ni watoto wadogo kweli, wanahitaji kubembelezwa ili wafanye kazi.
Sijaelewa kitanda kimeingiaje.

^^
Kongosho
Mwanamke ukimuweka sawa mwanaume kitandani hata mikataba feki atasaini,, hapo ndipo nguvu na udhaifu wa mwanaume ulipo,,hili unalijua sana Kongosho ila si unajua tena uchokozi ha ha
^^
 
Last edited by a moderator:
Naamini katika ku-reason na mwanamme, nikimteka sana kimapenzi nitabaki kuwa the only think tank of the family.

I want his brain too ili tufanikiwe zaidi.

Ila to some extent kuna ka ukweli hapa, ila hii ni applicable kwa mwanamme anayekupenda kiukweli.

^^
Kongosho
Mwanamke ukimuweka sawa mwanaume kitandani hata mikataba feki atasaini,, hapo ndipo nguvu na udhaifu wa mwanaume ulipo,,hili unalijua sana Kongosho ila si unajua tena uchokozi ha ha
^^
 
Last edited by a moderator:
Mimi ni kijana napiga 5,full of strength ngoja kwanza hadi yataponikuta

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 
either
  1. akitumia limbwata
  2. mwanaume zoba

^^
Siku ukikutana na mwanamke anaejua kupagawisha mwanaume,,utabadili usemi,, walau hata akufanyie massage like Madame B
utajua wapo wasiotumia limbwata ni ujuzi na ufundi tu wala we sio zoba.
^^
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom