Kitambo saaana!!

Aaah! Ww dogo sana huwezi jua hii kitu. Yaani imenikumbusha mwaka 1995 pale VINGUNGUTI ''A'' P/SCHOOL yaani kuangalia picha 5 sh 10/= wakati huo kwa pesa hiyo unapata supu ya mapupu kwa mama kapaya(rip my beloved grand ma)

mkuu kumbe tulikuwa jirani mimi nilisoma vingunguti B
 
Nakumbuka mzazi wangu hakuwa na uwezo wa kuninunulia hiyo kitu badala yake tulikuwa tukienda kuangalia kwa kulipia kila round. na aliyekuwa akifanya biashara hiyo hakuwa mtoto, ni mtu mzimaa.
 
Du!!!!!!!!!! ama kweli siku hazigandi long time sana wakati wa sikukuu ndo tulikua tunapewa pesa na wazazi tunamalizia kwenye hiyo kitu alafu kesho yake masimulizi shuleni utafikiri umeona bonge la movie.
 
umeturudisha miaka 25 nyuma au 30
nikirudi Tanzania nitakuja nazo kama 10 zawadi kwa watoto wasasa. nadhani watanitoa nazo mbio?
 
hiki ni nini jamani, tuelezeni.

View-Master is a device to view seven (stereo images) mounted in a paper disk. A View-Master disk holds 14 film slides in pairs.[SUP][/SUP] Although View-Masters are now marketed to children, the disks were originally heavily oriented toward adults, and included much educational and tourism content.

View-Master - Wikipedia, the free encyclopedia
 
Asante sana mkuu hiyo kitu ilikuwa kama almasi kuiona.Hapo utakuta makka na picha kibao kwa kweli ilikuwa starehe nzuri sana
 
enzi za kuweka jiwe kwenye foleni eti ukirudi unasema nilikua hapa kwenye jiwe.aaaah aaaah na watu wanakubali.sasa eti mtu anasema nilikua mbele ya huyu aaaa au nyuma ya huyu na mtu akiulizwa vip alikua nyuma yako anakubali huwa nacheza mwanzo mwisho
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom