KITAMBAA CHEUSI kwenye mabasi ya Saibaba

Discussion in 'Jamii Photos' started by HUNIJUI, Dec 2, 2012.

 1. HUNIJUI

  HUNIJUI JF-Expert Member

  #1
  Dec 2, 2012
  Joined: Oct 10, 2012
  Messages: 1,434
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 0
  jamani nimejiuliza maswali nmekosa jibu baada ya kuliona hili, ukiangalia mabas ya Saibaba kwa nyuma, kwenye kona ya juu upande wa kulia kuna kitambaa cheusi kama hilizi kwenye mabas yote, na hcho kitambaa huwa hakidondoki.
  HII INAASHIRIA NINI?

  [​IMG]
   

  Attached Files:

 2. Kongosho

  Kongosho JF-Expert Member

  #2
  Dec 2, 2012
  Joined: Mar 21, 2011
  Messages: 36,168
  Likes Received: 40
  Trophy Points: 48
  bendera ya TZ inamaanisha nini?
   
 3. No admission

  No admission JF-Expert Member

  #3
  Dec 2, 2012
  Joined: Nov 26, 2011
  Messages: 216
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  tutakufa kwa ajili ya hofu
   
 4. Chimunguru

  Chimunguru JF-Expert Member

  #4
  Dec 2, 2012
  Joined: May 3, 2009
  Messages: 9,685
  Likes Received: 23
  Trophy Points: 38
  cha kufutia vumbi
   
 5. HUNIJUI

  HUNIJUI JF-Expert Member

  #5
  Dec 2, 2012
  Joined: Oct 10, 2012
  Messages: 1,434
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 0
  bora ya bendera kuliko kitu kama hiliz af km kmenata ktatoka chenyewe but Hakitoki NG'O!!!!
   
 6. ZENITH

  ZENITH JF-Expert Member

  #6
  Dec 2, 2012
  Joined: Feb 5, 2012
  Messages: 544
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Sio nyuma tu,hata mbele kwenye wiper moja,sikumbuki ni ya kushoto au kulia.
   
 7. S

  SHEMGUNGA JF-Expert Member

  #7
  Dec 2, 2012
  Joined: Jan 13, 2012
  Messages: 623
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  galii lisiangukeeeeee umeshawahiii kusikiaaa garii hlo likiangukaaa?
   
 8. BRO LEE

  BRO LEE JF-Expert Member

  #8
  Dec 2, 2012
  Joined: Dec 25, 2011
  Messages: 525
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 18
  Kila mmoja ana imani yake, cha msingi tukipanda tukafika salama tunamshukuru Mungu. Mambo ya Ngoswe mwachie mwenyewe.
   
 9. P

  PSM JF-Expert Member

  #9
  Dec 2, 2012
  Joined: Apr 3, 2012
  Messages: 544
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Kah!imani nyingine ni balaa kitambaa kinazuia ajali,nimepata sana tabu kuona kwamba even in this time there are still people with such beliefs.Ngoja nitapanda gari lake moja halafu namwanga maombi ya nguvu na hayo mazindiko yatakuwa hayana kazi
   
 10. Zamaulid

  Zamaulid JF-Expert Member

  #10
  Dec 2, 2012
  Joined: May 25, 2009
  Messages: 12,415
  Likes Received: 424
  Trophy Points: 83
  ha ha ha ha ha ha!!!kweli jf...
   
 11. Watu8

  Watu8 JF-Expert Member

  #11
  Dec 2, 2012
  Joined: Feb 19, 2010
  Messages: 45,754
  Likes Received: 100
  Trophy Points: 63
  Huwa inapumua au imetulia tuli???
   
 12. S

  Skype JF-Expert Member

  #12
  Dec 2, 2012
  Joined: Nov 5, 2010
  Messages: 7,267
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  Hata mimi hua nakiona hicho kitambaa tena kila gari la saibaba kinakuwepo ila mpaka leo sijajua.
  Huenda ni pambo la kupendezesha gari la abiria.
   
 13. Kongosho

  Kongosho JF-Expert Member

  #13
  Dec 2, 2012
  Joined: Mar 21, 2011
  Messages: 36,168
  Likes Received: 40
  Trophy Points: 48
  unauhakika gani bendera si hirizi?

  Mbona huwa haidondoki mlingotini pake!

   
 14. Mkuu rombo

  Mkuu rombo JF-Expert Member

  #14
  Dec 2, 2012
  Joined: Oct 18, 2012
  Messages: 1,546
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  aiseeeeeeee babaangu ilo basi likipata ajali anakufa condacta au dereva 2 sijui kwanini?? Alafu huwa halina redio mwanzo mpaka mwisho wa safari kimya
   
 15. Edson

  Edson JF-Expert Member

  #15
  Dec 2, 2012
  Joined: Mar 7, 2009
  Messages: 8,554
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 38

  utakuwa huna kumbukumbu.....
   
 16. Ukwaju

  Ukwaju JF Bronze Member

  #16
  Dec 2, 2012
  Joined: Oct 19, 2010
  Messages: 7,255
  Likes Received: 35
  Trophy Points: 48
  Mgosi hii Dawa hata huko Korogwe ipo? maana nyie kina Shem... shemnd.... Shemsa... hata Mr Eddo alisema na Shemtw.. anaweza saidia na kuyalinda hayo Mabasi sijawahi kusikia yakianguka / kupinduka
   
 17. mgodi

  mgodi JF-Expert Member

  #17
  Dec 2, 2012
  Joined: Nov 5, 2010
  Messages: 1,520
  Likes Received: 44
  Trophy Points: 48
  Ni mambo ya imani.
   
 18. Kiranga

  Kiranga JF-Expert Member

  #18
  Dec 2, 2012
  Joined: Jan 29, 2009
  Messages: 28,620
  Likes Received: 424
  Trophy Points: 83
  Bendera nyeusi ni bendera ya ma pirates/ alama ya kifo.
   
 19. Kiresua

  Kiresua JF-Expert Member

  #19
  Dec 2, 2012
  Joined: May 13, 2009
  Messages: 1,172
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 38
  hata mm najoena mambo haya ya Saibaba!!
   
 20. c

  chilubi JF-Expert Member

  #20
  Dec 2, 2012
  Joined: Sep 21, 2011
  Messages: 1,685
  Likes Received: 14
  Trophy Points: 38
  Ni vitambaa tu usiogope amna lolote wala usishtuke! :-D
   

Share This Page