Kituko
JF-Expert Member
- Jan 12, 2009
- 9,555
- 9,330
Hali ya JK na CCM kisiasa kwa ujumla wake si nzuri na dalili zote zinaonyesha anguko kuu la CCM, silaha ya mwisho atakayotumia JK na CCM ni ya kuhahirisha Uchaguzi mpaka mwakani, miongoni mwa mbinu zilizopo ni hii ya JK Kujiangusha siku chache kabla ya uchaguzi na tutaelezwa hali yake si nzuri na atapelekwa nje ya nchi kutibiwa na uchaguzi utahahirishwa mpaka mwakani ili CCM wajipange vizuri kukabiliana na Slaa, nimedokezwa na kada wa CCM