X-PASTER
JF-Expert Member
- Feb 12, 2007
- 11,610
- 1,810
Kitabu Kipya: 'Kwaheri Ukoloni, Kwaheri Uhuru' Chatoka
Taarifa imeletwa kwangu na mdau mmoja kuwa kitabu kijulikanacho kwa jina la 'Kwaheri Ukoloni, Kwaheri Uhuru, Zanzibar Na Mapinduzi Ya Afrabia' kimetoka na kinaweza kupatikana kwenye anuani hii Kwaheri Ukoloni, Kwaheri Uhuru! Mwandishi wa kitabu icho ni dkt. Harith Ghassany kinaweza kusomwa moja kwa moja kupitia mtandaoni.
Kusoma kitabu hichi, tafadhali tembelea weblog yake ya Kwaheri Ukoloni, Kwaheri Uhuru! Jitihada zinafanywa ili msomaji aweze kukichota chote moja kwa moja kupitia mfumo wa pdf, lakini kwa sasa weblog hii inawezesha mtu kukisoma ukurasa kwa ukurasa.
Kwa wale watakaopenda kupata nakala halisi ya kitabu, wanaombwa wawasiliane na mwandishi au kupitia mtandao wa www.lulu.com
Nyote mnakaribishwa.