Kitabu gani ambacho kimewahi kubadilisha maisha yako na unatamani wengine tukisome?

nimekuwa na tabia ya kununua vitabu vilivyoandikwa kwa english, (vya kiswahili pia nitaanza nunua na kuvisoma) ,lengo likiwa kunufaika na maudhui,pili kuwa mahiri katika lugha hiyo, nasoma jokes books,novels ,self help books.kila aina ya kitabu kimekuwa na msaada wa kipekee katika lugha,kujifahamu na kufahamu kuhusu watu na kukabiliana na changamoto kadha wa kadha.nitorodhesha mchango wa kitabu kimoja kimoja kadri nitavyopata muda
 
Vipo 3
Bible
What a Catholic should do in marriage by I think is Bruno
Dynamic principles of the mind by Adam Bryan
Nimegugo hicho kitabu cha catholic hata majibu yenye mwelekeo hakuna
 
nimekuwa na tabia ya kununua vitabu vilivyoandikwa kwa english, (vya kiswahili pia nitaanza nunua na kuvisoma) ,lengo likiwa kunufaika na maudhui,pili kuwa mahiri katika lugha hiyo, nasoma jokes books,nevels ,self help books.Ni kila aina ya kitabu kimekuwa na msaada wa kipekee katika lugha,kujifahamu na kufahamu kuhusu watu na kukabiliana na changamoto kadha wa kadha.nitorodhesha mchango wa kitabu kimoja kimoja kadri nitavyopata muda
vip vitabu gan vya kuswahili nivtafute
 
kitabu gani serious unanishauri nisome?

I hope sinta ku bore, vitu vyangu viko boring kidogo..lol
Sijui kama umesoma Guns, Germs, and Steel, cha Jared Diamond, hata Collapse is good. Vitabu vyake ni heavy weight.
 
vya kiswahili jamn na ss tufaidike
c
I hope sinta ku bore, vitu vyangu viko boring kidogo..lol
Sijui kama umesoma Guns, Germs, and Steel, cha Jared Diamond, hata Collapse is good. Vitabu vyake ni heavyweight.
nimevicheki wikipedia nimeona hicho collapse maudhui yake yanafanana na Why nations fail. ngoja nianze na hicho kwanza. ntaleta mrejesho.
 
sina utalaam navyo ,binafsi nitaanza na vitabu vya shaaban robert
kuna kimoja kinaitwa BOSI. jamaa alipewa ukuu wa wilaya enzi za oparesheni sogeza. alikuwa anajiona yeye ndiyo yeye. alitembelea shule akaona kabinti kanakatika vizuri, akakaoa! . alifanya ishu nyingi za ajabu. mwisho akavurunda kwenye operation sogeza na kutumbuliwa. kitabu kizuri sana ila sidhani kama kinapatikana kirahisi. cc ramadhani kimweri
 
nitajaribu kukitafuta aisee
 
Back
Top Bottom