Kitabu cha mafisadi wa elimu nakipataje?

Rutunga M

JF-Expert Member
Mar 16, 2009
1,769
1,382
Jamani mwenye kujua duka au agent wa kitabu cha mafisadi wa elimu kilichotoka hivi karibuni anijulishe,kitabu huki kinatafutwa sana katika mikoa ya kanda ya ziwa ebu mwenye kujua anijulishe nitakipataje?
 
Jamani mwenye kujua duka au agent wa kitabu cha mafisadi wa elimu kilichotoka hivi karibuni anijulishe,kitabu huki kinatafutwa sana katika mikoa ya kanda ya ziwa ebu mwenye kujua anijulishe nitakipataje?
Nina hard copy, nipeni time nitakiscani na kukipost hapa.......
 
ushauri huo wa buree umeupokea, kwanini umekuwa kimya...ama ulikua unajoke.
 
Pia kijitabu hiko kinauzwa kama njugu maeneo ya Morroco Junction ya Kawawa na A.H.Mwinyi opposite na jengo jipya la Zain aka Bharti Airtel...
 
pole sana...........hapa mujini dasalama kinapatikana kwa wauza magazeti wote....sasa kwa hyuko mkoa labda utasaidiwa na wengine.........
 
kuna mmoja kascan kurasa mbili tu. tunamshukuru sana tunaomba mscan kitabu kizima, mtalipwa na Mungu kwa wema na upendo wenu..................jamani wengine tuko nchi za mbali, tunaomba mtuscanie na mtupostie hapa .............. hatuna namna nyingine ya kukipata.......... mwenzanu 2015 napanga kugombea urais sasa nadhani hizo ndo nondo zenyewe.............. jamani tubandikieni tuijenge nchi yetu kwa pamoja........................ chondechondw wajameni...............
 
Back
Top Bottom