Kitabu cha Kusadikika unabii wa Mwandishi Shaban Robert...

harakat

JF-Expert Member
Jul 4, 2011
2,888
1,347
Huyu jamaa angetakiwa aitwe nabii kwa alichotabiri kwenye
kitabu hiki takribani miaaka mingi iliyopita alizungumzia Mjumbe
mmoja kutoka kaskazini kwenye serikali ya kusadikika ambaye
alikua anaitwa majivuno ,huyu majivuno aliamini kwamba kidole chake
cha mwisho kidogo kina akili kuliko wana kusadikika wote pia alikua na
nyele Nyeupe ziking'aa kama shaba,naam huyu jamaa alikua na
ghiliba na uchu wa madaraka na mali na hata mwanasheria karama
alipomhukumu jamaa aliongea kana kwamba naye anajua chochote
kwenye tasnia ya sheria .
Je tz huyu majivuno hajatokea?
karama nae hayupo ?

nawasilisha
 
Mkuu, umenikukmbusha mbali sana!!! Ahsante sana! Je unaweza kunipatia hicho kitabu kwa namna yoyote!! Ahsante sana na usiku mwema
 
duh, usiniambie! nilishasahau hii hadithi pamoja na kuisoma kwenye fasihi. naam kiliandikwa kabla Lowassa hajapata mvi
 
Wote wapo na hata Mfalme Jeta ambaye kila wakati analia njaa licha ya kwamba domo lake kalipanua kutoka kwenye chanzo cha mto wenye kila aina ya takataka zinazoingia tumboni mwake!!!!!!!....ila muda una wakati wake katika kufanya mageuzi (soma Kivuli Kinaishi)
 
Anaefahamu kinapopatikana kitabu hiki tafadhari atujuze, mimi binafsi nakihitaji sana
 
Kariakoo Kwenye Soko Flemu Za Tafifu Utaona Kuna Vitabu Vipo Bei 5000 Hadi 6000 Japo Wao Wameandika Elfu Kumi Na Kitu Kwenye Kitabu Usiogope We Nenda Na 5000 Ukiwa Umeichenji Kabisa Mpe Mwambie Akupe Kitabu Hicho.
 
Uzuri wa Kitabu hiki tunasoma tulio TIMAM tu!
 
Huyu jamaa angetakiwa aitwe nabii kwa alichotabiri kwenye
kitabu hiki takribani miaaka mingi iliyopita alizungumzia Mjumbe
mmoja kutoka kaskazini kwenye serikali ya kusadikika ambaye
alikua anaitwa majivuno ,huyu majivuno aliamini kwamba kidole chake
cha mwisho kidogo kina akili kuliko wana kusadikika wote pia alikua na
nyele Nyeupe ziking'aa kama shaba,naam huyu jamaa alikua na
ghiliba na uchu wa madaraka na mali na hata mwanasheria karama
alipomhukumu jamaa aliongea kana kwamba naye anajua chochote
kwenye tasnia ya sheria .
Je tz huyu majivuno hajatokea?
karama nae hayupo ?

nawasilisha
Hii hadithi inaendana kabisa na hali ya sasa.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom