Muarubaini
JF-Expert Member
- Apr 7, 2012
- 222
- 48
Lengo nikuwasaidia watu kama hao kwan nilisoma kwenye article moja kuwa kuna watu wenye hali hizo ila zinaweza kubadilishwa iwapo watapata ushauri mzuri wa kisaikolojia na pia kutibu chanzo
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ninakubaliana na wewe ni kuwa hormones zikizidi basi unashindwa kuji control unaweza kufanya mambo ya ajabu na Watu wakashangaa,Na mazingira yalivyo kwa mfano Uarabuni kupata mwanamke inakuwa ni Big Deal lakini kwa hapo kwetu Wanawake wapo wa kumwaga kwanini wewe Mwaname umtamani mwanamme mwenzako? hapo sasa inakuja mambo ya Kishetani na ukimuendekeza shetani atakupeleka pabaya motoni... dfreymvp kaka na wewe umo kwenye hako kamduara? mbona unaonekana sana kujali?..... NATANIA TU MJOMBA.....
nahisi ni hormones, mazingira, na shetani, ukimkumbatia mungu hayatokuandama.
Mmmhhhh....... Tatizo hili mimi huıliita kwa lugah ya Kiingereza ( chronic disease) Gonjwa sugu lisilopona kwa haraka mpaka sasa halijaweza kupatiwa Ufumbuzi. Kwa Nchi za Ulaya Mwanamme kumtamani mwanamme Mwenzake ni jambo la Kawaida ,Siku hizi wanaowana Wanaume kwa waunaume huku ulaya, Baba analala kimapenziMH, NGOJA WATAALAMU WAJE MziziMkavu na Dr. Riwa mpo wapi?
MH, NGOJA WATAALAMU WAJE MziziMkavu na Dr. Riwa mpo wapi?