Kiswahili tunakienzi vipi?

Papushikashi

JF-Expert Member
Feb 28, 2016
10,708
12,789
Habari jf,
Hivi naomba kuuliza, hili suala la kuenzi kiswahili ni la mtu mmoja au la kitaifa? Na kama ni la kitaifa mbona mawaziri hasa huyu wa mambo ya nje ambaye nimemsikiliza sana kwenye hotuba zake wakati wa ugeni wa nje anatoa speech zake kwa kingereza? Na kama anakiuka/wanakiuka hii amri ya kukienzi kiswahili kwanini wasitumbuliwe?
Msaada tafadhari
 
Tukienzi kwa kukihifadhi makumbusho ya Taifa kwa mfumo wa audio maana muda si mrefu kitasahaulika!
 
Je hili suala la bwana mkulu kusema anakienzi kiswahili kwa kutoa hotuba zake kwa kiswahili limekaaje?
 
Kwa kuwa 80 % ya watanzania hawajui kiswahili na kwa kwa kuwa tunataka kukienzi kiswahili basi tufute kiingereza.
 
Je hili suala la bwana mkulu kusema anakienzi kiswahili kwa kutoa hotuba zake kwa kiswahili limekaaje?
Utetezi wa kidarasa la kwanza! Unashindwa tu kusema Mimi kidhungu naona kidhungudhungu hivyo nitatumia kiswahili eti unasingizia kuenzi kiswahili?
 
  • Thanks
Reactions: Auz
Iwekwe wazi kinaenziwa vipi au kwa njia gani, ili ntu binafsi kwa nafasi ajue wajibu wake na hatimae Taifa litakuwa linaenda sambamba.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom