Kiswahili Kuwa Lugha ya Afrika Ifikapo Mwaka 2020?

Sabi Sanda

JF-Expert Member
Mar 7, 2006
409
31
Miaka Mitano Iliyopita Viongozi wa Afrika Walikubaliana kwa Kauli Moja Kuwa Ifikapo Mwaka 2020 KISWAHILI ndiyo itakuwa Lugha Kuu ya Afrika. Je Hilo Litawezekana??? na Je Tanzania Tunafanya Nini Kuhakikisha Ndoto Hiyo Inatimia??
 
ukisoma michango ya hapa JF ndio utajua Tz tunafanya nini kutimiza ndoto hii....
 
Hata kama kiswahili kitaishia kenya Tz ug rwanda,burundi na drc kwanza cha nini??nakitatusaidia nini wakati uchumi tunategemea china??wewe fikiria hat sindano unaagiza china!!Sioni faida yake niubishoo basi eti africa tuna lugha yetu kiswahili!!:confused2:
 
Pamoja na Changomoto ulizozitoa, naamini ni muhimu sana kwa Afrika kuwa na lugha yake rasmi.
Kuna haja ya kwenda mbali zaidi na kukiuza Kiswahili dunia nzima. Naamini hili linawezekana kama tukiamua.
 
Ndugu zangu nawashangaa watu wote wanaofikiria kiswahili kuwa Lugha ya Frica ni ufahari, nawaambia kuwa hapo TZ itakuwa imetupwa ndani ya dimbwi kubwa la ujinga, kama tunazungumzia uswahili badala ya kuweka ushindani wa kibiashara nakutanguliza lugha ya kigeni kama Kiingereza na Kifaransa na Kiarabu ili watu wetu wapate nafasi za kazi popote wanapokwenda tunazungumza lugha ya kutafutia uhuru wa 19 kweusi nasema haya kwasababu mimi nipo nje ya nchi ninayaona hayo, mtu anamaliza elimu ya juu kujieleza kiingeleza anashindwa jamani sikonayeyote hatakama ni rais au rahisi tusipojua lugha za watu yetu ni itakuwa ya chumbani tu hatutaweza kabadilika hasirani.
 
Ni kweli ni muhimu sana kujua lugha za wengine kwa ufasaha hasa lugha ya kingereza. Hilo linawezekana bahati mbaya sana viongozi wetu wanatuangusha. Sioni kwa nini hapa nchini hatuna chuo maalumu kwa ajili ya kutoa walimu bora wa kingereza na pia kiwe kinatoa kozi za muda mfupi kila wakati. Kwa upande mwingine tunatakiwa kama Taifa tuelewe kuwa tunaweza kuwafundisha lugha za kigeni Watanzania kwa mamilioni kila siku kwa NJIA YA RUNINGA NA REDIO. Wakati ni huu wa kuamua na kutenda.
 
Back
Top Bottom