Kuna mzungu mmoja alikuwa anajitahidi kuzungumza kiswahili wakati akitoa mawaidha kwa wanajamii aliyokuwa anafanya nao kazi. Ilikuwa hivi ''Jamani pandaneni ninyi kwa ninyi, kila mmoja ampande mwenzake''. Alikuwa anamaanisha pendaneni ninyi kwa ninyi kila mmoja ampende mwenzake watu wakashika mbavu zao kwa vicheko.