Kiswahili kibovu kipindi cha Watoto

fmhema

Member
Feb 18, 2009
6
0
Jana jumamosi nilisikiliza kipindi cha watoto katika redio fulani lakini ilinisikitisha jinsi muongozaji (mtoto mwenzao) alivyokuwa anahribu kiswahili. Kwa mfanoalikuwa anawauliza wenzie "ukiamkaga asubuhi unafanyaga nini?" Je huwa unaamkiaga wazazi wako? n.k. Kwa uelewa wangu ni kwamba vyombo vya habari ni nyezo muhimu ya kueleimisha jamii. Inasikitisha kuona kuwa wasimamizi wa vyombo hivyo hawazingatii ubora wa waendeshaji wa vipindi hivyo. Au ni kwa sababu ni vya watoto?
 
huyo mtoto lazima atakuwa ni msukuma maana wao ndio wanaopenda kukandamizaga maneno.

Weeee, weeeeee!!!!!
"mama, maji kwenye mtungi hayamomo, tuliendaga kisimani kuchotaga maji na tulipofikaga TUKATUMBUKIAMO..."
 
Back
Top Bottom