Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kiswahili cha Mwenyekiti Wa Mtaa Mkurya Msibani!

Discussion in 'Jokes/Utani + Udaku/Gossips' started by Wambandwa, May 14, 2011.

 1. Wambandwa

  Wambandwa JF-Expert Member

  #1
  May 14, 2011
  Joined: Dec 3, 2006
  Messages: 1,848
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 38
  Nduku sangu tuko habha kwa chambo mocha, Rhobi amefirwa na kaka yake usiku wa reo. Kufirwa si chambo la mcheso reo kafirwa Rhobi kesho ntafirwa mimi keshokutwa wewe, chusi Ghati arifirwa na papa sake wawiri kwa pamoja kila mtu si rasma afirwe? Hee mbona mnacheka? Hibhi chambo ra kufirwa ni ra ghuchekesha chamani mnanitia aibu. Mwengine akasema msee Matiku marisa kabhura uchi hauchapoa tuna ncha..........
   
 2. toghocho

  toghocho JF-Expert Member

  #2
  May 14, 2011
  Joined: Mar 16, 2011
  Messages: 1,160
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 38
  hii nimecheka hiii
   
 3. Obe

  Obe JF-Expert Member

  #3
  May 14, 2011
  Joined: Dec 31, 2007
  Messages: 1,677
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 38
  Jamaa alimkumbusha mzee matiku kuhusu uchi wa moto na kiboro cha jana, nimecheka sana na usiku wangu utakuwa mnono sana mura
   
 4. C

  ChiefmTz JF-Expert Member

  #4
  May 14, 2011
  Joined: Apr 15, 2008
  Messages: 2,167
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 38
  Acheni utani mbaya
   
 5. M

  Mmongolilomo JF-Expert Member

  #5
  May 14, 2011
  Joined: Feb 25, 2008
  Messages: 132
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 18
  Duh hii ni zaidi. Kikombe kya kyuma na kyai kya moto.
   
 6. LiverpoolFC

  LiverpoolFC JF-Expert Member

  #6
  May 14, 2011
  Joined: Apr 12, 2011
  Messages: 10,923
  Likes Received: 30
  Trophy Points: 48
  Mi nahisi Wa2 wengine cjui wanapewa vyeo kwa sbb ya ukoo ama sbb ya fedha aliyonayo Mi cjui kabisa. Maana M/kiti wa mtaa ama kitongoji kuongea lugha ya Taifa kwa ubovu huo Mi naona asingestahi uongozi hata wa ukoo wao licha ya mtaa. Ushuzi mtupu tu.
   
 7. Jaluo_Nyeupe

  Jaluo_Nyeupe JF-Expert Member

  #7
  May 15, 2011
  Joined: Dec 21, 2010
  Messages: 1,846
  Likes Received: 54
  Trophy Points: 48
  unaweza ukakuta kwa hapo kijijini yeye ndio mtaalam zaidi wa lugha.
   
 8. T

  Tasia I JF-Expert Member

  #8
  May 15, 2011
  Joined: Apr 21, 2010
  Messages: 1,221
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 38
  hahhaahah! hii sawa hii.
   
 9. Raia Fulani

  Raia Fulani JF-Expert Member

  #9
  May 15, 2011
  Joined: Mar 12, 2009
  Messages: 10,186
  Likes Received: 14
  Trophy Points: 38
  nimecheka kwa kweli. Amalizie tu ili wafirwa wakapate uchi na kibhoro (ashakum)
   
 10. sinafungu

  sinafungu JF-Expert Member

  #10
  May 15, 2011
  Joined: Feb 13, 2010
  Messages: 993
  Likes Received: 75
  Trophy Points: 28
  ili uwe mwenyekiti ni lazima ujue kiswahili kuliko wote, HIYO NDO SIFA KUU
   
 11. afrodenzi

  afrodenzi Platinum Member

  #11
  May 15, 2011
  Joined: Nov 1, 2010
  Messages: 16,970
  Likes Received: 629
  Trophy Points: 113
  Hahahahahahahah
  dahhhhh sina hamu.mmhh
  hii kali.
   
 12. N

  Nalonga JF-Expert Member

  #12
  May 15, 2011
  Joined: Dec 20, 2010
  Messages: 190
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 16
  Asante mkuu!
   
 13. MUREFU

  MUREFU JF-Expert Member

  #13
  May 15, 2011
  Joined: Oct 1, 2010
  Messages: 1,222
  Likes Received: 32
  Trophy Points: 48
  ha,ha,ha,ha,haaa.... Jaman jaman hata ningekuwa mm ningekuwa nacheka 2uu japo ni msiban. Mana ninakumbuka niliudhuria msiba mmoja mchungaj akachapia watu wote wakacheka sasa cjui hii ingekuwaje
   
 14. m

  mwita ke mwita JF-Expert Member

  #14
  May 16, 2011
  Joined: Aug 13, 2010
  Messages: 3,574
  Likes Received: 300
  Trophy Points: 83
  sasa mura mbona hao wenyekhiti siku hizi hatuwaoni mbane hii umechaghachua
   
 15. UmkhontoweSizwe

  UmkhontoweSizwe JF-Expert Member

  #15
  May 16, 2011
  Joined: Dec 19, 2008
  Messages: 2,593
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 38
  We cheza na wakurya tu, watakugecha na mapanga yao. Ndo utawajua wao ni kina nani?
  Kama watu wote wanafirwa, basi huo mtaa haufai kuhamia.
   
 16. Masikini_Jeuri

  Masikini_Jeuri JF-Expert Member

  #16
  May 16, 2011
  Joined: Jan 19, 2010
  Messages: 6,691
  Likes Received: 242
  Trophy Points: 63
  wwwwoy woy woy woy hahahahahahahahah
   
 17. Pota

  Pota JF-Expert Member

  #17
  May 16, 2011
  Joined: Apr 8, 2011
  Messages: 1,724
  Likes Received: 31
  Trophy Points: 48
  ............kazi kwelikweli.........
   
 18. cheze

  cheze JF-Expert Member

  #18
  May 16, 2011
  Joined: Apr 27, 2011
  Messages: 199
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 18
  Kanathiombaye Mura!!!!Nipatie CHIBUZI (chips) na kakokakora barrridiiiiiii kama KIRUNGURI.
   
 19. Elungata

  Elungata JF-Expert Member

  #19
  May 16, 2011
  Joined: Jan 28, 2011
  Messages: 22,052
  Likes Received: 1,103
  Trophy Points: 113
  BWaaaahahahaha hohohoho heeeh...

  Man una mambo.hivi hili jina la robi nini asili yake mura?
   
 20. Vinci

  Vinci JF-Expert Member

  #20
  May 16, 2011
  Joined: Jul 6, 2009
  Messages: 2,488
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 38
  hahahah...mura umenichekesha sana....fita ni fita..
   
Loading...
Similar Threads - Kiswahili Mwenyekiti Mtaa Forum Date
Mhindi aliambiwa amalizie methali za Kiswahili Jokes/Utani + Udaku/Gossips Mar 26, 2016
KISWAHILI TUWAACHIE BAKITA Jokes/Utani + Udaku/Gossips Mar 19, 2016
Misamiati ya Kiswahili Jokes/Utani + Udaku/Gossips Nov 29, 2015
Hahaha... Pale Mzungu anapojua maneno matatu tu ya Kiswahili Jokes/Utani + Udaku/Gossips Jul 30, 2015
kiswahili cha Mwenyekiti wa Mtaa Mkurya MSIBANI Jokes/Utani + Udaku/Gossips Sep 14, 2012

Share This Page